Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Arusha Iringa ndio level yenu, ona panavyofanana[emoji116][emoji116]
Arusha
Screenshot_20230228-232821~2.jpg

Iringa
Screenshot_20230228-232628~2.jpg
 
🤣🤣🤣 mwanza kwa washamba na masikini haya sasa na hapa sio Capri point,isamilo,nyasaka,mwananchi,buswelu,nyamhongolo,kiseke,ilemela wala nyegezi majengo mapya
Watu wa Mwanza ni vile hatupendi kelele😄 kuna kijiji kinaitwa njiro kuna apartments hadi 30k
View attachment 2533161View attachment 2533165View attachment 2533172View attachment 2533173
Hizo ghorofa zimesambaa kama vidole vya bata. Sasa we kwa akili yako unaweza fananisha njiro na capripoint? Yani kapripoint ndio mwisho wenu yani kwa ujanja wakati hakuna maajabu.
 
Alafu hii tabia ya mwanza kuongea kilugha kwenye daladala mnatuaibisha bhana jiji au kijiji hicho
Kwamba Chuga mnaongea kingereza,Kifaransa na kispaniola kwenye viford vyenu muda wote [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waulize njiro wanavyokula vumbi kipindi hiki na wanavyokula tope kipindi Cha mvua. Tatizo lako hata Arusha hulijui unaokoteleza habari. Sisi tukija kwa mfumo huo utakimbia kwa mara nyingine. Tetea njombe na mikoa ya matakoni mwa Tanzania.
Mzee nakupa miradi unaleta porojo 😂😂
 
Waulize njiro wanavyokula vumbi kipindi hiki na wanavyokula tope kipindi Cha mvua. Tatizo lako hata Arusha hulijui unaokoteleza habari. Sisi tukija kwa mfumo huo utakimbia kwa mara nyingine. Tetea njombe na mikoa ya matakoni mwa Tanzania.
Njiro hakuna hata mtaa mmoja wenye makazi ya watu wenye lami. Ni aibu sana kwa jiji la Arusha. Hata alikohamia Gambo huko Njiro ni vumbi tupu na matope
 
Hizo ghorofa zimesambaa kama vidole vya bata. Sasa we kwa akili yako unaweza fananisha njiro na capripoint? Yani kapripoint ndio mwisho wenu yani kwa ujanja wakati hakuna maajabu.
[emoji1787][emoji1787] hapo sio Capri point ni bwiru moto wa Capri point anauweza masaki tu kwa hapa Tanzania

Capri point ni hii. hakuna vumbi
main-qimg-f2f0695ac5b41948e11728419e7620bd-lq.jpg
44724477.jpg
9110819.jpg
Image00020-1.jpg
SHA_20220710_175139278_8.4.400.jpg
20220710_163301.jpg
SHA_20220710_174638532_8.4.400.jpg
SHA_20220710_163709067_8.4.400.jpg
SHA_20220710_175038326_8.4.400.jpg
SHA_20220710_165320348_8.4.400.jpg
20220710_164416.jpg
SHA_20220710_165436327_8.4.400.jpg
SHA_20220710_170728799_8.4.400.jpg
20220710_170831.jpg
 
Back
Top Bottom