Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Ngoja yuonee ama kwa hakika mwendazake aliwapendelea
Hapana kaka ukiachana na ubishi mwanza ni kubwa kumbka ilemela anataka masoko na nyamagana wanataka masoko,, ilemela akitaka stand na nyamagana anataka stand hivo ushindani kat ya Hawa wabunge wawili na mameya ni Kasi sana na lazima wapew miradi maana wanazalisha mapato

Mfano now wametoa ramani ya BRT ambayo July wanaanza kitekeleza
 
Hiyo njano ndo BRT
 
Mkuu Kwa ukubwa upi unaousemea ase Arusha Municipal ni kubwa sana mkuu...nahis izo wilaya zenu 2 zinaingia kwa Arusha Municipal pekee ..Bado Kuna...
 
Ubishi TU ila ukweli unaujua jaribu google square za Jiji pia ikumbuke wamemaliza kutenga manispaa ya tatu tena hapa mwanza
 
Magufuli hakuwa na upendeleo hakika angejikita mwanza angetuacha Vizuri sana at BRT ingekuwa tayr ila alidili sana DODOMA NA DAR,, Hivi unajua soon dodoma itaizid ARUSHA maana wanataka eneo la UDOM liwe wilaya na Lina Kila kitu
 
Magufuli Alidili sana na Mwanza na Dom mkuu ..katika vitu ambavo watu hawaelewi ni kuwa Dom Bado ni mkoa mdogo sana hata kwa Iringa pekee
 
Ni
Mkuu Kwa ukubwa upi unaousemea ase Arusha Municipal ni kubwa sana mkuu...nahis izo wilaya zenu 2 zinaingia kwa Arusha Municipal pekee ..Bado Kuna...
Kwambie TU ingia google ulinganishe ilemela TU nyamagana achana nayo linganisha ilemela na Arusha Municipal ukubwa kilometre square za eneo halafu njoo na majibu mwenyew maana humu tunabisha kusogeza siku huku ukweli uko wazi kabisa
 
Magufuli hakuwa na upendeleo hakika angejikita mwanza angetuacha Vizuri sana at BRT ingekuwa tayr ila alidili sana DODOMA NA DAR,, Hivi unajua soon dodoma itaizid ARUSHA maana wanataka eneo la UDOM liwe wilaya na Lina Kila kitu
Ni Mfano useme kwa Nigeria Abuja japo na kupewa hadh ya Jiji ila haiwezi kuipita Lagos au Port Harcourt...vile vile kwa Pretoria napo hapawez kupita Jozi ,KZN na Hata Cape town
 
Magufuli Alidili sana na Mwanza na Dom mkuu ..katika vitu ambavo watu hawaelewi ni kuwa Dom Bado ni mkoa mdogo sana hata kwa Iringa pekee
Mm nmekuepo Dom miaka miwili nilipotoka Arusha hivo Dom kaka naijua ilipewa promo sana na Dom na mbeya mbeya wanaobisha tyu ila washapitwa mbali mno pia Dom wanalami ad ambako ni pori hamna watu yaan nishawah tembea nilijua njia nafika sehemu miti imelalia Barabara kabisa pori lakin lami ishagawekwa TU inasubili watu wataifikia
 
Ni Mfano useme kwa Nigeria Abuja japo na kupewa hadh ya Jiji ila haiwezi kuipita Lagos au Port Harcourt...vile vile kwa Pretoria napo hapawez kupita Jozi ,KZN na Hata Cape town
Sawa ata Dom haiwez kuipita dar, mfano marekani Jiji la Los angel ni zuri haswa lakin haliipiti new York ila chukuen tahadhar labda mama asitilie mkazo sana DODOMA
 
Mkuu kuwepo sio shida ...ila angalia tangu Magu afe spidi ya mkoa huo imepungua mno ..na watu wanatoka huko wanasema hamna biashara kabisa...kuhusu lami sijui kwa tanzNia kama Kuna mkoa wa kuzidi K'njaro kwa bara bara za lami ..asee K'njaro asilimia kubwa ya ule mji uko na lami
 
Sawa ata Dom haiwez kuipita dar, mfano marekani Jiji la Los angel ni zuri haswa lakin haliipiti new York ila chukuen tahadhar labda mama asitilie mkazo sana DODOMA
Yani hata hatilie mkazo mkuu ..ujue dodom Ina hali ya ujangwa sana ...sasa nani atakaa kwenye ardhi ambayo ..hata kwa kilimo tu ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…