Mwanza cbd wapo vizuri cbd yote huwez kukanyaga mchanga bro.Yaaani kivipi? Aseee Arusha Kuna lami mpaka mitaani na sio mitaa ya matajiri ...Hadi mitaa ya maskin lami kunazo
Mwezi wa tano pia nitakuepo hapo sanawar ya juuMim Huwaga napendaga exposure ...nikwamba naanda Tena bajeti nije pande hizo
Ni ubishi TU kukosoa ila kama unahelabnjoo mwenyewe ukweli kuinjoy tunza na malaika panahitaji zaidi ya million kumi ndo utafrahia huwez enda maeneo hayo na million moja labda kunywa fourcousin two na nyama choma ila ule ulale weee kumbka kikwete alikuwa analalaga malaika na sio ikuluHii thread pitia comment jamaa alikosolewa sana ..na kwa mantiki hii inaonesha mwanza bado sana kwenye upande wa good place na exposure
Yani Chuki kivipi?! Yan ufananishe Malaika na Serena una akili kweli wewe?!Hao wakosoaji wengi ni haters wa jiji la Mwanza waliojaa chuki na wivu wa kijinga.
Dah utanicheki tujuane vizuri ..sasa ukitaka pia uamin Chuga ni kubwa ni kwamba mim tang nizaliwe sijawah kanyaga Sanawari na Wala sipajui nikienda uko unanipotezaMwezi wa tano pia nitakuepo hapo sanawar ya juu
Yani kwamba?![emoji23][emoji23]make hapo kwanza ncheke ...iyo Malaika kwa tunza ni level za wavuvi camp, grand Nolasco na Kitambaa tuNi ubishi TU kukosoa ila kama unahelabnjoo mwenyewe ukweli kuinjoy tunza na malaika panahitaji zaidi ya million kumi ndo utafrahia huwez enda maeneo hayo na million moja labda kunywa fourcousin two na nyama choma ila ule ulale weee kumbka kikwete alikuwa analalaga malaika na sio ikulu
Kaka mwanza lami ipo CBD yote na mitaani mfano Kwa ilemela Barabara ambazo hazikuwa na lami ni nyamhongolo to buswelu na AIRPOT to kayenze but now zote zmepewa fungu na ukipita at Leo utakuta grader linasawazisha hizo Barabara Kwa kuweka lami,,haya pia Barabara kitangir kuunga rock city mall nayo tayr imerekebishwa soon watapiga lami njoo nyamagana Barabara za mitaa zipo chini ya tarura na tayar wamepewa billion 3 kumaliza Barabara zote ambazo zilikua bado,Yaaani kivipi? Aseee Arusha Kuna lami mpaka mitaani na sio mitaa ya matajiri ...Hadi mitaa ya maskin lami kunazo
Poa nitakucheki usjali kakaDah utanicheki tujuane vizuri ..sasa ukitaka pia uamin Chuga ni kubwa ni kwamba mim tang nizaliwe sijawah kanyaga Sanawari na Wala sipajui nikienda uko unanipoteza
Hapana mianzini pale ni vumbi na tope,,morombo ndo usiseme kidogo Salina Ile high way ndo inaonekana vzr lakin kwingine huko mashamba ya migomba na tope boss uzur ARUSHA naijua vzrYaaani kivipi? Aseee Arusha Kuna lami mpaka mitaani na sio mitaa ya matajiri ...Hadi mitaa ya maskin lami kunazo
Halafu nyie mikoan huko mnazanig wavuvi mwanza ni sawa na uonao pwani pole sana usichojua wavuvi ziwa Victoria ni sawa na mchimbaji madini bro amuka ni matajiri haswa ukiongelea njiwa pori,kitana nk ni hatari na ujue Jiji la mwanza linakua Kasi na ukubwa wake ni kutokana na shughuli hii ya uvuvi uliza wachaga wenzio walioko mwanza wakwambie uvuviYani kwamba?![emoji23][emoji23]make hapo kwanza ncheke ...iyo Malaika kwa tunza ni level za wavuvi camp, grand Nolasco na Kitambaa tu
Sasa hata Arusha lami Iko kina mahali mfano mimi kwetu ni maeneo ya uswazi tu lakin lami imepitaKaka mwanza lami ipo CBD yote na mitaani mfano Kwa ilemela Barabara ambazo hazikuwa na lami ni nyamhongolo to buswelu na AIRPOT to kayenze but now zote zmepewa fungu na ukipita at Leo utakuta grader linasawazisha hizo Barabara Kwa kuweka lami,,haya pia Barabara kitangir kuunga rock city mall nayo tayr imerekebishwa soon watapiga lami njoo nyamagana Barabara za mitaa zipo chini ya tarura na tayar wamepewa billion 3 kumaliza Barabara zote ambazo zilikua bado,
Sasa mianzin bara bara si imeanza kujengwa au hujaonaHapana mianzini pale ni vumbi na tope,,morombo ndo usiseme kidogo Salina Ile high way ndo inaonekana vzr lakin kwingine huko mashamba ya migomba na tope boss uzur ARUSHA naijua vzr
Ujanielewa brother dar Kuna Club inaitwa Wavuvi Campa ..sijamanisha wavuvi wa samaki ..mana hata mimi moja ya biashara nifanyayo ni samaki ....nimemanisha sehem kam malaika napafananisha na Wavuvi Camp clubHalafu nyie mikoan huko mnazanig wavuvi mwanza ni sawa na uonao pwani pole sana usichojua wavuvi ziwa Victoria ni sawa na mchimbaji madini bro amuka ni matajiri haswa ukiongelea njiwa pori,kitana nk ni hatari na ujue Jiji la mwanza linakua Kasi na ukubwa wake ni kutokana na shughuli hii ya uvuvi uliza wachaga wenzio walioko mwanza wakwambie uvuvi
Hii naijua karibu na Ngiwaranecha bar au ofisi za Marangu coach...Iko wapi,,,,mtaa gani ,, barabara Gani ,nani mmiliki [emoji28][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Ngaramtoni umefika lini brother ..labda na USA umefika Lini brother..Ngaramtoni lami kila sehemu aseeArusha sehemu yenye unafuu ni ni njiro,majengo na kijenge lakin hko USA RIVER, na ngalamtoni kwakweli hapana na Arusha ndo centre zake hizo
Mkuu hapo kumbe tuko sawa ngoja nikupe mauwa yako [emoji257][emoji259]Hii naijua karibu na Ngiwaranecha bar au ofisi za Marangu coach...
Ngaramtoni ipi kuna lami kila sehemu sasa hivi kuna vumbi sana, nenda Olturumet au kule Ekenywa unaelekea Shamba Lodge barabara ina vumbi sana... ukipanda kule Olmotonyi na penyewe kuna vumbi...Sasa Ngaramtoni umefika lini brother ..labda na USA umefika Lini brother..Ngaramtoni lami kila sehemu asee
Ngaramtoni ipi unasemaNgaramtoni ipi kuna lami kila sehemu sasa hivi kuna vumbi sana, nenda Olturumet au kule Ekenywa unaelekea Shamba Lodge barabara ina vumbi sana... ukipanda kule Olmotonyi na penyewe kuna vumbi...
Usa River afadhali maana barabara ya kule chini imepigwa lami... lakini ukipanda Dik Dik barabara imewekwa kifusi...
Ngaramtoni ya Juu, au hata Mji mdogo wa Ngaramtoni...Ngaramtoni ipi unasema