Tena kuna ma hardare kubwa linalingana na hotel yao yao wanaoipost humu kila dk, et ndio hotel ya five star, wakati wakina kitana jengo kama hilo wameligeuza kuwa kama hardware.Zipo Hadi hardware za kufany la recycling
Hii kirumba ibanda 6km from cbd, alafu Mwanza ulinganishe na matope ya kijiji chenye ukubwa wa 2 km2Mijengo..usisahau kuweka na majina ya mtaa...
Kirumba [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2549666View attachment 2549667
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hili mbona limeshapostiwa muda si mrefu nawewe umelirudia[emoji23]Mijengo..usisahau kuweka na majina ya mtaa...
Kirumba [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2549666View attachment 2549667
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa nilichokugundua hauko kwa lenngo la kuelimisha uko kwa jili ya ligi ..ngoja niendlee na mwanangu Cha AsubuhHizo takwimu kawaaminisheni wapumbavu wenzenu au wapenda siga wenzenu, wakazi wa mwanza au natives of rock city ni watu wa IQ kubwa kuliko sehemu yoyote hile, huwa hatubase kwenye porojo za kugushi, na data uchwara.
Njoo kwa ground hapa leta neighbourhooda zenu nikubali, unaleta picha moja moja n picha zenyewe za dar hapo ndio kabisa naona arusha hamkufikisha hata ghorofa 200, hao watayarishaji wa data sijui walibase kwenye utumbo gani?
View kali sana wale fisi maji wa ungalimited lazima wazimie😂😂😂
Hakuna sentensi yako hata moja ambayo haina neno mshamba, utakuwa na inferiority complex syndrome, jiangalie na uchukue hatua.Ah wapi, mnakariri. Arusha yote tunajua dar na sisi ndio mji. Mwanza tunajua ni mji wa washamba tu.
Vipi na hii imeshapostiwa ..lake front ilemela [emoji91][emoji91][emoji91].. usisahau majina ya mtaa credit: KitombileSasa hili mbona limeshapostiwa muda si mrefu nawewe umelirudia[emoji23]
Hayo majengo yenu yakifahari ndio tunayataka humu.Ujamwelewa mwana hapo juu alisema mkoa wenye maghorofa bro...kwo hata nyumba unayokaa sio jengo?! Sasa kwa Mujibu wa Sensa mkoa wenye Maghorofa mengi Ni Dar ,Aru na mikoa Mingine inafata.
Ila kwa upande wa Majengo mkoa unaoongoza ni Dar ,Mwanza ,Dom na mikoa Mingine inafata ,mantiki hii ni kwamb hata mimi nikijijengea pango langu nalo litakuw ni jengo
Na mtaleta mpaka tunyumba twa lagos, poleni sana, hii battle inapoteza maana ni bora tulete view kubwa kama wana wa Rock city wanavyofanya.
Tupate Break kidogoNyasaka [emoji95] [emoji95] View attachment 2549670
Ujajib swali kaka [emoji3]Zipo Hadi hardware za kufany la recycling
Hata hilo Cha Asubuh amepost uko juuVipi na hii imeshapostiwa ..lake front ilemela [emoji91][emoji91][emoji91].. usisahau majina ya mtaa credit: Kitombile
View attachment 2549695View attachment 2549696
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali lipi mkuu wanguUjajib swali kaka [emoji3]
Unajichekesha lakini moyoni unaumia jinsi Mwanza inavyofanana na Miami😝😝😝🤣🤣🤣🤣
Tunataka neighborhood za matajiri wenye hizo Lamborghini [emoji3]Tupate Break kidogoView attachment 2549706
Sasa hili mbona limeshapostiwa muda si mrefu nawewe umelirudia[emoji23]
Sijapost hio picha kiongoz kula sana mchicha[emoji3]Hata hilo Cha Asubuh amepost uko juu
Hardware kweny ujenzi ni nin?Swali lipi mkuu wangu
Huku zipo nying sanaaa mda wa kuzunguka ndo nakosa kaka
Me huniwez na wala hamtaniweza, kwani hapa tunaelimishana na nini yaani jiji la Mwanza liige nini hapo Arusha, na hapa wote tupo kwaajili ya ligi kama haupo kwaajili ya battle umekuja kutafuta nini?We jamaa nilichokugundua hauko kwa lenngo la kuelimisha uko kwa jili ya ligi ..ngoja niendlee na mwanangu Cha Asubuh