Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hizo takwimu kawaaminisheni wapumbavu wenzenu au wapenda siga wenzenu, wakazi wa mwanza au natives of rock city ni watu wa IQ kubwa kuliko sehemu yoyote hile, huwa hatubase kwenye porojo za kugushi, na data uchwara.

Njoo kwa ground hapa leta neighbourhooda zenu nikubali, unaleta picha moja moja n picha zenyewe za dar hapo ndio kabisa naona arusha hamkufikisha hata ghorofa 200, hao watayarishaji wa data sijui walibase kwenye utumbo gani?
We jamaa nilichokugundua hauko kwa lenngo la kuelimisha uko kwa jili ya ligi ..ngoja niendlee na mwanangu Cha Asubuh
 
Ah wapi, mnakariri. Arusha yote tunajua dar na sisi ndio mji. Mwanza tunajua ni mji wa washamba tu.
Hakuna sentensi yako hata moja ambayo haina neno mshamba, utakuwa na inferiority complex syndrome, jiangalie na uchukue hatua.
 
Sasa hili mbona limeshapostiwa muda si mrefu nawewe umelirudia[emoji23]
Vipi na hii imeshapostiwa ..lake front ilemela [emoji91][emoji91][emoji91].. usisahau majina ya mtaa credit: Kitombile
IMG_20230313_211534.jpg
IMG_20230313_211753.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujamwelewa mwana hapo juu alisema mkoa wenye maghorofa bro...kwo hata nyumba unayokaa sio jengo?! Sasa kwa Mujibu wa Sensa mkoa wenye Maghorofa mengi Ni Dar ,Aru na mikoa Mingine inafata.

Ila kwa upande wa Majengo mkoa unaoongoza ni Dar ,Mwanza ,Dom na mikoa Mingine inafata ,mantiki hii ni kwamb hata mimi nikijijengea pango langu nalo litakuw ni jengo
Hayo majengo yenu yakifahari ndio tunayataka humu.
 
We jamaa nilichokugundua hauko kwa lenngo la kuelimisha uko kwa jili ya ligi ..ngoja niendlee na mwanangu Cha Asubuh
Me huniwez na wala hamtaniweza, kwani hapa tunaelimishana na nini yaani jiji la Mwanza liige nini hapo Arusha, na hapa wote tupo kwaajili ya ligi kama haupo kwaajili ya battle umekuja kutafuta nini?
 
Back
Top Bottom