Cha asubuhi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,549
- 2,279
Nishakupa mimba yangu ukaitoa so sina shida na wewe tena, yaaani unapenda dudu kulea hauwezi picha hivi wewe jibwa kokoNdio maana mnaambiwa nyie ni washamba, what is so special? Alafu kuna mwenzake anasema eti ni unyama mwingi?! [emoji1787] [emoji1787] Mwanza i rest my case.
Aiseee soko kuu ni balaa kubwaEndelea kuleta stori za kusadikika
Twizhukilegi kushokha kaya[emoji116][emoji116]View attachment 2611340
Hujielewi wewe, siku nyingine ukifika usagara chukua hiyo bypass ya kisesa na utafika huko bila kupita CBD.Jiji kama Mwanza yaani Iko ifike City centre unatumia Barabara Moja ,ukitaka uende Mji ya Mji lazima upite City centre kwenye Barabara Moja hiyo hiyo ,huu ni upuuzi..
Ukiwa Mkolani Ili uende Igoma lazima uje mjini hivyo hivyo na maeneo mengine mwishowe inaonekana Kuna jam kumbe ni ujinga tuu hakuna miundombinu ya kutosha na sio Jam..
Mambo kama haya huwezi yakuta Dodoma au Dar
Hapa si hotelini mkuu. Kila hotel mbona Ina mazingira yake matamu tu.Mambooo hayo[emoji23]View attachment 2609330
We kama nanLeo nafunga huu mjadala. Arusha ni zaidi ya Mwanza. Case closed!! No more comments!!
Achana na sunk, yule ni fala alwaysHapo tunaangalia preference ya Mtu na Priorities za Watu eneo hilo, unazungumzia Visimbuzi kama kitu cha kudhibitisha Umasikini Vp kuhusu Umiliki wa Magari ambao unadhibitishwa na wingi wa petrol station β½ ambapo Mwanza ni ya 2, Vp kuhusu Umiliki wa Simu ambapo Mwanza ni ya 2
Utafiti wako ulizingatia vigezo Gani?, Methodology of study ipi?. And how did u manage kufanya utafiti huu?, Na kwa bajeti ipi?. Tusipende kukurupuka na mihemko yetu. Aliyemo humu bila shaka anajielewa kasoro SUNK tu ambaye ana swimming mood, leo ataishabikia Arusha na kesho ataisifia Dar na Dom. na kwasababu Hana memory kubwa ya kutunza kumbu kumbu Kuna wakati anaiponda Arusha. Kwahiyo tujikite kwenye facts ambazo ni justifiable.
We fala Tanga unaijua wewe au mnakurupuka tu. Tanga anzia Barabara ya kumi na tatu, kumi na nne nakuendelea usiku ni biashara ya ngono tu. Mashoga kama wote. Njoo sababa pale ngoreme na viunga vyake ni ngono na ufsika tu. Chichi club habari ni hiyo hiyo, Tanga beach resort mashoga wa kumwaga, raskazone beach jioni ni hovyo hovyo. Mji haujachangamka na wenyeji wanaishia kimwinyi. Kuna watu humu hata hawajui wanachoshupazia shingo zao. Yaani mwanza uiweke level Moja na Arusha au Tanga utakuwa mvuta bangi tu.Nasemaga kila siku Tanga ni pakijanja kuliko mwanza, mtu wa mwanza ukimweka na mtu wa tanga utaelewa. Mwanza maendeleo yameanza jana tu ndio maana malimbukeni.
Bangi inakuendeshaLeo nafunga huu mjadala. Arusha ni zaidi ya Mwanza. Case closed!! No more comments!!
Kutoka Usagara Hadi Mjini ni km ngapi? Hapo Katikati kuna Barabara ambayo utapita bila kufika Katikati ya Mji? ,Jiji la hovyo kabisa ππHujielewi wewe, siku nyingine ukifika usagara chukua hiyo bypass ya kisesa na utafika huko bila kupita CBD.
Nawe ushaona binafs namfikiriaga skili yake naona inashida si unajua kusoma sio kipimo Cha utimamu,, jamaa kajaa roho mbaya,chuki,wivu,masimango ad majungu,, utashangaa anapost waziri ypo iringa yeye anaona ni kama fursa hyo unajiuliza akili yake ikoje unagundua akili ni ndogo kama piliton kwenye kikombe Cha majiJamaaa ana husda na hajui kuchuja taarifa analeta kama zilivvyo ππhilo ndo tatizo ya kufanya kazi halmashauri mda mrefu ndo maana amekuwa mtu wa majungu na umbea plus husda.
Utawekaje mwanza na watu waliowazidi kifikra, kimaendeleo toka kitambo?We fala Tanga unaijua wewe au mnakurupuka tu. Tanga anzia Barabara ya kumi na tatu, kumi na nne nakuendelea usiku ni biashara ya ngono tu. Mashoga kama wote. Njoo sababa pale ngoreme na viunga vyake ni ngono na ufsika tu. Chichi club habari ni hiyo hiyo, Tanga beach resort mashoga wa kumwaga, raskazone beach jioni ni hovyo hovyo. Mji haujachangamka na wenyeji wanaishia kimwinyi. Kuna watu humu hata hawajui wanachoshupazia shingo zao. Yaani mwanza uiweke level Moja na Arusha au Tanga utakuwa mvuta bangi tu.
La hovyo Mbeya Kuna bara bara kuu ngapi nawe usitusumbue. Au Kuna alternative ya kufika kisongo bila kupita CBD kutokea maji ya chai?. Usiwe boya basiKutoka Usagara Hadi Mjini ni km ngapi? Hapo Katikati hakuna Barabara Hadi Mjini ,Jiji la hovyo kabisa ππ
Hajasoma huyu anapost vile akili yake inampelekaNawe ushaona binafs namfikiriaga skili yake naona inashida si unajua kusoma sio kipimo Cha utimamu,, jamaa kajaa roho mbaya,chuki,wivu,masimango ad majungu,, utashangaa anapost waziri ypo iringa yeye anaona ni kama fursa hyo unajiuliza akili yake ikoje unagundua akili ni ndogo kama piliton kwenye kikombe Cha maji
Fikira ipi hiyo. Arusha yenyewe mmbebaki wenyewe hapo. Factor mojawapo ya kujua wapi pako juu ni mchanganyiko wa makabila katika eneo. Mwanza Kuna makabila yote. Arusha mmbebaki wenyewe hapo na mijisifa ya kijinga. Mnategemea huruma za serikali kuuomba mashirika na asasi mbali mbali yaweke makao makuu na mnafurahia huu ujinga. Amkeni kumeshakucha.Utawekaje mwanza na watu waliowazidi kifikra, kimaendeleo toka kitambo?
Mwamba hakuwaga huyu ninayemuona hapa au wamehack account yake Nini??ππππππNawe ushaona binafs namfikiriaga skili yake naona inashida si unajua kusoma sio kipimo Cha utimamu,, jamaa kajaa roho mbaya,chuki,wivu,masimango ad majungu,, utashangaa anapost waziri ypo iringa yeye anaona ni kama fursa hyo unajiuliza akili yake ikoje unagundua akili ni ndogo kama piliton kwenye kikombe Cha maji
Si Bora Mbeya Sasa kitakuwa na km 32 Dual Carriage no msongamano? Mwanza ni hovyo tuu hamna kitu harafu mnajiita Jiji kubwa..La hovyo Mbeya Kuna bara bara kuu ngapi nawe usitusumbue. Au Kuna alternative ya kufika kisongo bila kupita CBD kutokea maji ya chai?. Usiwe boya basi
Leo umeangalia Tulia Marathon? Ule sio mji ni kijiji!Si Bora Mbeya Sasa kitakuwa na km 32 Dual Carriage no msongamano? Mwanza ni hovyo tuu hamna kitu harafu mnajiita Jiji kubwa..
Arusha kuna diversity ya kufa mtu. Wewe usie na exposure mshamba wa mwanza unadhani kila mtu wa arusha ni kabila moja, mimi mbona sio wa huko? Mjini pale kuna kila takataka kuliko mwanza. Arusha hakuna lugha kubwa duniani isiyozungumzwa kwa taarifa yako. Mrisho gambo kabila gani? Lema? Wote hao arusha wamekuja tu kama hujui. Washamba tatizo mmemezeshwa sumu za kijinga na mlivo hamna akili mnakula tu.Fikira ipi hiyo. Arusha yenyewe mmbebaki wenyewe hapo. Factor mojawapo ya kujua wapi pako juu ni mchanganyiko wa makabila katika eneo. Mwanza Kuna makabila yote. Arusha mmbebaki wenyewe hapo na mijisifa ya kijinga. Mnategemea huruma za serikali kuuomba mashirika na asasi mbali mbali yaweke makao makuu na mnafurahia huu ujinga. Amkeni kumeshakucha.