Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Ndio maana mnaambiwa nyie ni washamba, what is so special? Alafu kuna mwenzake anasema eti ni unyama mwingi?! [emoji1787] [emoji1787] Mwanza i rest my case.
Nishakupa mimba yangu ukaitoa so sina shida na wewe tena, yaaani unapenda dudu kulea hauwezi picha hivi wewe jibwa koko
 
Jiji kama Mwanza yaani Iko ifike City centre unatumia Barabara Moja ,ukitaka uende Mji ya Mji lazima upite City centre kwenye Barabara Moja hiyo hiyo ,huu ni upuuzi..

Ukiwa Mkolani Ili uende Igoma lazima uje mjini hivyo hivyo na maeneo mengine mwishowe inaonekana Kuna jam kumbe ni ujinga tuu hakuna miundombinu ya kutosha na sio Jam..

Mambo kama haya huwezi yakuta Dodoma au Dar
Hujielewi wewe, siku nyingine ukifika usagara chukua hiyo bypass ya kisesa na utafika huko bila kupita CBD.
 
Leo nafunga huu mjadala. Arusha ni zaidi ya Mwanza. Case closed!! No more comments!!
 
Hapo tunaangalia preference ya Mtu na Priorities za Watu eneo hilo, unazungumzia Visimbuzi kama kitu cha kudhibitisha Umasikini Vp kuhusu Umiliki wa Magari ambao unadhibitishwa na wingi wa petrol station ⛽ ambapo Mwanza ni ya 2, Vp kuhusu Umiliki wa Simu ambapo Mwanza ni ya 2
Achana na sunk, yule ni fala always
 
Utafiti wako ulizingatia vigezo Gani?, Methodology of study ipi?. And how did u manage kufanya utafiti huu?, Na kwa bajeti ipi?. Tusipende kukurupuka na mihemko yetu. Aliyemo humu bila shaka anajielewa kasoro SUNK tu ambaye ana swimming mood, leo ataishabikia Arusha na kesho ataisifia Dar na Dom. na kwasababu Hana memory kubwa ya kutunza kumbu kumbu Kuna wakati anaiponda Arusha. Kwahiyo tujikite kwenye facts ambazo ni justifiable.
 
Nasemaga kila siku Tanga ni pakijanja kuliko mwanza, mtu wa mwanza ukimweka na mtu wa tanga utaelewa. Mwanza maendeleo yameanza jana tu ndio maana malimbukeni.
We fala Tanga unaijua wewe au mnakurupuka tu. Tanga anzia Barabara ya kumi na tatu, kumi na nne nakuendelea usiku ni biashara ya ngono tu. Mashoga kama wote. Njoo sababa pale ngoreme na viunga vyake ni ngono na ufsika tu. Chichi club habari ni hiyo hiyo, Tanga beach resort mashoga wa kumwaga, raskazone beach jioni ni hovyo hovyo. Mji haujachangamka na wenyeji wanaishia kimwinyi. Kuna watu humu hata hawajui wanachoshupazia shingo zao. Yaani mwanza uiweke level Moja na Arusha au Tanga utakuwa mvuta bangi tu.
 
Hujielewi wewe, siku nyingine ukifika usagara chukua hiyo bypass ya kisesa na utafika huko bila kupita CBD.
Kutoka Usagara Hadi Mjini ni km ngapi? Hapo Katikati kuna Barabara ambayo utapita bila kufika Katikati ya Mji? ,Jiji la hovyo kabisa 😀😀
 
Jamaaa ana husda na hajui kuchuja taarifa analeta kama zilivvyo 😂😂hilo ndo tatizo ya kufanya kazi halmashauri mda mrefu ndo maana amekuwa mtu wa majungu na umbea plus husda.
Nawe ushaona binafs namfikiriaga skili yake naona inashida si unajua kusoma sio kipimo Cha utimamu,, jamaa kajaa roho mbaya,chuki,wivu,masimango ad majungu,, utashangaa anapost waziri ypo iringa yeye anaona ni kama fursa hyo unajiuliza akili yake ikoje unagundua akili ni ndogo kama piliton kwenye kikombe Cha maji
 
We fala Tanga unaijua wewe au mnakurupuka tu. Tanga anzia Barabara ya kumi na tatu, kumi na nne nakuendelea usiku ni biashara ya ngono tu. Mashoga kama wote. Njoo sababa pale ngoreme na viunga vyake ni ngono na ufsika tu. Chichi club habari ni hiyo hiyo, Tanga beach resort mashoga wa kumwaga, raskazone beach jioni ni hovyo hovyo. Mji haujachangamka na wenyeji wanaishia kimwinyi. Kuna watu humu hata hawajui wanachoshupazia shingo zao. Yaani mwanza uiweke level Moja na Arusha au Tanga utakuwa mvuta bangi tu.
Utawekaje mwanza na watu waliowazidi kifikra, kimaendeleo toka kitambo?
 
Nawe ushaona binafs namfikiriaga skili yake naona inashida si unajua kusoma sio kipimo Cha utimamu,, jamaa kajaa roho mbaya,chuki,wivu,masimango ad majungu,, utashangaa anapost waziri ypo iringa yeye anaona ni kama fursa hyo unajiuliza akili yake ikoje unagundua akili ni ndogo kama piliton kwenye kikombe Cha maji
Hajasoma huyu anapost vile akili yake inampeleka
 
Utawekaje mwanza na watu waliowazidi kifikra, kimaendeleo toka kitambo?
Fikira ipi hiyo. Arusha yenyewe mmbebaki wenyewe hapo. Factor mojawapo ya kujua wapi pako juu ni mchanganyiko wa makabila katika eneo. Mwanza Kuna makabila yote. Arusha mmbebaki wenyewe hapo na mijisifa ya kijinga. Mnategemea huruma za serikali kuuomba mashirika na asasi mbali mbali yaweke makao makuu na mnafurahia huu ujinga. Amkeni kumeshakucha.
 
Nawe ushaona binafs namfikiriaga skili yake naona inashida si unajua kusoma sio kipimo Cha utimamu,, jamaa kajaa roho mbaya,chuki,wivu,masimango ad majungu,, utashangaa anapost waziri ypo iringa yeye anaona ni kama fursa hyo unajiuliza akili yake ikoje unagundua akili ni ndogo kama piliton kwenye kikombe Cha maji
Mwamba hakuwaga huyu ninayemuona hapa au wamehack account yake Nini??😃😃😃😃😃😃
 
La hovyo Mbeya Kuna bara bara kuu ngapi nawe usitusumbue. Au Kuna alternative ya kufika kisongo bila kupita CBD kutokea maji ya chai?. Usiwe boya basi
Si Bora Mbeya Sasa kitakuwa na km 32 Dual Carriage no msongamano? Mwanza ni hovyo tuu hamna kitu harafu mnajiita Jiji kubwa..
 
Si Bora Mbeya Sasa kitakuwa na km 32 Dual Carriage no msongamano? Mwanza ni hovyo tuu hamna kitu harafu mnajiita Jiji kubwa..
Leo umeangalia Tulia Marathon? Ule sio mji ni kijiji!
Mbeya ni mji uliojaa mabanda na hauna hata gorofa za maana!
Hata Kahama inawakalisha!
 
Fikira ipi hiyo. Arusha yenyewe mmbebaki wenyewe hapo. Factor mojawapo ya kujua wapi pako juu ni mchanganyiko wa makabila katika eneo. Mwanza Kuna makabila yote. Arusha mmbebaki wenyewe hapo na mijisifa ya kijinga. Mnategemea huruma za serikali kuuomba mashirika na asasi mbali mbali yaweke makao makuu na mnafurahia huu ujinga. Amkeni kumeshakucha.
Arusha kuna diversity ya kufa mtu. Wewe usie na exposure mshamba wa mwanza unadhani kila mtu wa arusha ni kabila moja, mimi mbona sio wa huko? Mjini pale kuna kila takataka kuliko mwanza. Arusha hakuna lugha kubwa duniani isiyozungumzwa kwa taarifa yako. Mrisho gambo kabila gani? Lema? Wote hao arusha wamekuja tu kama hujui. Washamba tatizo mmemezeshwa sumu za kijinga na mlivo hamna akili mnakula tu.
 
Back
Top Bottom