Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Maeneo gani mwanza ambayo hayajapimwa? Weka picha hapa ulizopiga.
 
Nimesema hivyo sababu hayo maeneo yate yapo barabarani
Mwanza yenye Barabara za kutafutiza utaenda wapi tofauti na barabarani? Ukisema uingie mtaani kwenye mavumbi utaumiza gari maana gari yangu Iko chini na huwezi zunguka sehemu kubwa maana no mitaa yaani Kila mtu amekariro uchochoro wake ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Mfano huu uchochoro hapa uliishia kwenye mabanda ya watu no muendelezo.
 
Umetembelea maeneo gani kiongoz?
Nimetembelea maeneo yaliyo kando kando ya Barabara yanayofokika kama city centre,kirumba,kuja malaika beach ,Igoma,ziwani kule wanauza samaki nk
 

Attachments

  • IMG_20230505_162646_160.jpg
    1.3 MB · Views: 5
  • IMG_20230505_162553_598.jpg
    1.1 MB · Views: 7
Kiasi umejitahidi lakini bado sana kwa kupita tu kwenye lami hauwezi kusema umetembea maeneo yote muhimu kwa mwanza,
Bado kuna maeneo muhimu na ya hatari haujafika kama bwiru,buswelu/wilayani,buzuruga/mwananchi,nyansaka,maeneo kama ya nyamhongolo usiishie stand ya mabus tu zungukia hata mitaa yake fika mitaa ya taiwan nk,,maeneo yote hayo yamepimwa na barabara zake zinafikika vizuri sana na kuna usafiri wa hiace na bajaji
 
Hizo ni barabara za estates wewe unataka uende wapi, leta barabara kama hizo huko mbeya au arusha, ni seheme gani ulitaka kwenda isiyokuwa na lami au barabara ya mawe, sisi tunalilia barabara kupanuliwa na ukisikia tunalia barabara ujue ni kenyatta na ya airport igombe hatuna shida kama zenu, poleni sana kama mlikuwa mnatafuta sehemu ya kujifariji, ni sehemu gani hapa nchini utakuta barabara mpaka milangoni kwa watu.
 
Mkiwa mnaendelea kusubiri tactic, huku wakazi wa ibanda wanajenga barabara za zege kwa pesa zao wenyewe bila msaada wa serikali wala world bank๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Na bado mwanza central station wameweka kambi na ujenzi unaanza, wameweka nyumba za wafanyakazi๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
View attachment 2612869View attachment 2612870
Mwanza Tourist Hotel pekee ndio walau linapamba Mwanza na likikamilika litapendeza zaidi.

Utakutana na mtu anakwambia eti Arusha inategemea majengo ya serikali Sasa sijui hili ni la nani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Diversity ya nyoko. Angalia behind the scene SANAWARI mnayopigia kelele hapa. Vijumba vya udongo๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ. Eti diversity kubwa mijisifa ya kijinga. Au haujui hata maana ya diversity?
 
Sasa Lema si mchaga. Diversity unayoiongolea hapa ni kwasababu ya Lema na gambo, stupid!!!!!. Kwendra.......
 
We senge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ