Vyeti feki bila shaka, alitelezea Ganda la ndizi kuingia kwenye ajira, Mzee kamla kichwa.Huyu tatizo lake alipigwa na uncle Magu na kitu kizito kwa nyuma hivyo akamchukia uncle Magu na kanda ya ziwa yote. Yupo tayari kushabikia Mogadishu na Kisimayu ila siyo Mwanza au kanda ya ziwa. Huwa nafikiria sana ni kitu gani Uncle Magu alimfanyia huyu jamaa hadi akajenga chuki kiasi hicho. Huyu jamaa ni dizaini ya wanawake ambao wakitoswa na njemba zao wanachukia ukoo mzima wa hiyo njemba utadhani alikuwa anapigwa miti na ukoo mzima.
Me nilishamzoea sana huwa naenda naye kama anavyotaka๐๐๐ huyu mtu huitaji kupanic kwake ni kumpeleka kulingana na akili yake ni mwendo wa kumpimia kadri ya uwezo wake.Huyu tatizo lake alipigwa na uncle Magu na kitu kizito kwa nyuma hivyo akamchukia uncle Magu na kanda ya ziwa yote. Yupo tayari kushabikia Mogadishu na Kisimayu ila siyo Mwanza au kanda ya ziwa. Huwa nafikiria sana ni kitu gani Uncle Magu alimfanyia huyu jamaa hadi akajenga chuki kiasi hicho. Huyu jamaa ni dizaini ya wanawake ambao wakitoswa na njemba zao wanachukia ukoo mzima wa hiyo njemba utadhani alikuwa anapigwa miti na ukoo mzima.
Aliliwa kichwaVyeti feki bila shaka, alitelezea Ganda la ndizi kuingia kwenye ajira, Mzee kamla kichwa.
Wakati mkiendelea kujazana upumbavu naendelea kuwapa nyundo za Utosini kutoka Arusha..Aliliwa kichwa
Limekaa kama jengo la shule ya msingi mwabaruhi๐๐๐๐๐Wakati mkiendelea kujazana upumbavu naendelea kuwapa nyundo za Utosini kutoka Arusha..
Mapovu ruksa,AUWSA HQ ๐
Wakati mkiendelea kujazana upumbavu naendelea kuwapa nyundo za Utosini kutoka Arusha..
Mapovu ruksa,AUWSA HQ ๐
Ili ndio jengo achana na jengo lililokaa kama shule.Maji House Mwz HQ
Unamchanganya Dalali wa viwanja Dom [emoji13][emoji13][emoji13]
Kule KIA kule Arusha Airport ๐Ili ndio jengo achana na jengo lililokaa kama shule.
Jengo lenyewe baya af mpo kwny plan wakat mwanza tumejenga jengo la kisasa la mwauwasa tena kwa mapato ya ndan miaka 5 iliyopita๐๐๐Wakati mkiendelea kujazana upumbavu naendelea kuwapa nyundo za Utosini kutoka Arusha..
Mapovu ruksa,AUWSA HQ ๐
Eti baya ๐๐.Wewe ndio Kipimo Cha jango zuri?Jengo lenyewe baya af mpo kwny plan wakat mwanza tumejenga jengo la kisasa la mwauwasa tena kwa mapato ya ndan miaka 5 iliyopita๐๐๐
Kwani wenyeji wa Arusha wao wanasemaje mpaka ujibebeshe majukumu ya kuwasemelea?. Kuwa na aibu hata mara Moja Moja.Eti baya ๐๐.Wewe ndio Kipimo Cha jango zuri?
Nyundo nyingine hii hapa kutoka chuga lazima muombe poo๐
Nyie Machokoraa leteni nyumba Kali Kama hii huko kwenye Kijiji chenu Cha wavuvi ๐๐Huyu tatizo lake alipigwa na uncle Magu na kitu kizito kwa nyuma hivyo akamchukia uncle Magu na kanda ya ziwa yote. Yupo tayari kushabikia Mogadishu na Kisimayu ila siyo Mwanza au kanda ya ziwa. Huwa nafikiria sana ni kitu gani Uncle Magu alimfanyia huyu jamaa hadi akajenga chuki kiasi hicho. Huyu jamaa ni dizaini ya wanawake ambao wakitoswa na njemba zao wanachukia ukoo mzima wa hiyo njemba utadhani alikuwa anapigwa miti na ukoo mzima.
Kwa hiyo hilo jengo gorofa kumi ndio liitishie Mwanza? Mwanza floor kimi watu binafsi wanjenga wala hawahitaji hisani ya TBA!Nyie Machokoraa leteni nyumba Kali Kama hii huko kwenye Kijiji chenu Cha wavuvi ๐๐
Go Arusha go to the peak ๐
Ziko wapi? Wacha blaa blaa weweKwa hiyo hilo jengo gorofa kumi ndio liitishie Mwanza? Mwanza floor kimi watu binafsi wanjenga wala hawahitaji hisani ya TBA!
Bado mnashindana na Arusha?.Unamchanganya Dalali wa viwanja Dom [emoji13][emoji13][emoji13]
Kuwa na akili basi hata kidogo, unaleta picha ya jengo Moja Moja tukisema wewe limbukeni utakataa?. Jengo lenyewe ghorofa tatu na halina structure yoyote unique. Kweli inabidi tukuvumilie tu maana kichwa yako Ina dosari mahala.Bado mnashindana na Arusha?.
Arusha Technical๐
La Mwanza Liko wapi?๐๐Kuwa na akili basi hata kidogo, unaleta picha ya jengo Moja Moja tukisema wewe limbukeni utakataa?. Jengo lenyewe ghorofa tatu na halina structure yoyote unique. Kweli inabidi tukuvumilie tu maana kichwa yako Ina dosari mahala.