Vyeti feki bila shaka, alitelezea Ganda la ndizi kuingia kwenye ajira, Mzee kamla kichwa.Huyu tatizo lake alipigwa na uncle Magu na kitu kizito kwa nyuma hivyo akamchukia uncle Magu na kanda ya ziwa yote. Yupo tayari kushabikia Mogadishu na Kisimayu ila siyo Mwanza au kanda ya ziwa. Huwa nafikiria sana ni kitu gani Uncle Magu alimfanyia huyu jamaa hadi akajenga chuki kiasi hicho. Huyu jamaa ni dizaini ya wanawake ambao wakitoswa na njemba zao wanachukia ukoo mzima wa hiyo njemba utadhani alikuwa anapigwa miti na ukoo mzima.