Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Nini kigeni hapa au kuona wadau wa utalii wakifanya kikao arusha, mbona mwanza kuna vikao vya kimataifa vinavyowakutanisha wafanyabiashara wakubwa hapa dunia lakini huwa tunaona kawaida tu.
Vikao vya Kimataifa 🤣🤣🤣🏃🏃🏃🤸🤸
 
Hawa wachina sio bure wamekuja na jambo lao
Acha kujitia ujinga eti sio bure wamekuna na jambo lao😂😂😂😂 ndio maana nakuambia kwa akili zeni hizi mtakuja kulingana akili na mbuzi, watu wanakuja kubeba twiga na wanyama pori unasema wana jambo lao.
 
Mwaka wa 3 huu nimesikia mradi mmja tuu wa Barabara huko Mwanza is Slum 🤪🤪
Kumbe na wewe umeona kama vile Mwanza imetengwa, kila mradi wa mwanza serikali wapo bize kutafuta pesa lakini miradi ya mikoa mingine hasa Dar na dodoma pesa huwa ipo tayari....Nashukuru sana kwa kulijua hilo ndugu PASUA KICHWA.
 
Nyie si mliwatenga wenzenu,zamu yenu imefika Sasa 🤪🤪🤪🤪
 
Mbeya alipeleka nini? Kajengo ka hospital?
Njombe mlipewa kila kitu, mbeya ilichangamka, mahospitali na barabara za mitaa pamoja na kumalizia jengo la airport na ujenzi wa maghorofa ya halmshauri na wakuu wa wilaya pamoja na.... Vingi sana.
 
Nini kigeni hapa au kuona wadau wa utalii wakifanya kikao arusha, mbona mwanza kuna vikao vya kimataifa vinavyowakutanisha wafanyabiashara wakubwa hapa dunia lakini huwa tunaona kawaida tu.
Hii niliwahi kusema mwanza vikao vikubwa hufanyika lakin tunaona normal kabisa hat watu wa arusha vikao vinafanuika wanaona Norma tatizo lipo Kwa hili senge la NJOMBE linapost adi viazi vya kuchoma yaan Kila kitu linaona ni fantastic sjui Kwa kuwa vitu kama hivo kusini hamna na mambo yalichelewa sana kule

Acha TU lipost broh😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…