ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Vikao vya Kimataifa 🤣🤣🤣🏃🏃🏃🤸🤸Nini kigeni hapa au kuona wadau wa utalii wakifanya kikao arusha, mbona mwanza kuna vikao vya kimataifa vinavyowakutanisha wafanyabiashara wakubwa hapa dunia lakini huwa tunaona kawaida tu.