ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wewe empty set usinipotezee mda hiyo mada ilishaisha hakuna mahala Mwanza inaweza sogelea ArushaAngalia "KAPYALU"" wewe Usifananishe MWANZA na VITU VYA OVYO OVYO..
CC. Kitombile huyu dogo choice variable ana ushabiki wa kiwaki
Unawatu wangapiArusha mji mdogo sana ukitembea kidogo umejirundika seems moja na unable wakazi wachache sana
Ni mdogo Kwa watu ila una hela kushinda Mwanza.Arusha mji mdogo sana ukitembea kidogo umejirundika seems moja na unable wakazi wachache sana
sema tatizo la Mwanza ni kutokuwa na kiwanja cha ndege cha kisasa na pia serikali haikuibeba sana Mwanza ki miundo mbinu km Arusha kidogo tu awamu ya 5Mwanza uwez linganisha na Arusha. Ni miji iliyopishana sana haikaribiani hata.
Mwanza imeupiga mwingi kitambo icho enzi izo.
Arusha imezidi Mwanza labda kwa usafi tu.
Hatupingi, Arusha ni centre ya utalii kwa hapa Tanzania.Mwanza Semeni shikamoo kaka Arusha ππππ
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1793255661532315973?t=LYwNP34a-lJ6YSVVKxYojw&s=19
Unajua SI UNIT ya uchumi?Ona huyu mbuzi wa Lamadi,Kwa hiyo GDP ndio Mapato? π€ͺπ€ͺ
Je unaweza sema mahala ambapo Arusha inaizidi Mwanza?Wewe empty set usinipotezee mda hiyo mada ilishaisha hakuna mahala Mwanza inaweza sogelea Arusha
Gap la per capita kati ya Arusha na Mwanza unalijua? Japo Mwanza ina watu wengi sana kuliko Arusha lakini bado gap la per capita ni dogo sana.Ni mdogo Kwa watu ila una hela kushinda Mwanza.
una magorofa mengi kushinda Mwanza
inaingiza pesa nyingi Nchini kushinda Mwanza
,una majengo marefu na makali kushinda Mwanza,
Mji Maarufu Duniani kushinda Mwanza
Mahoteli kushinda Mwanza
Barabara nzuykushinda Mwanza
Kila kitu umewazidi,nyie Mji mkubwa mna kipi Cha maana kuwavutia watu? ππ
Hapa mchawi ni kiwanja cha ndege tu, tukipata hiki Mwanza itafunguka zaidi, tayari mashirika ya ndege zaidi ya kumi ya kinataifa yameshaomba miruko kwaajili ya ndege zao.sema tatizo la Mwanza ni kutokuwa na kiwanja cha ndege cha kisasa na pia serikali haikuibeba sana Mwanza ki miundo mbinu km Arusha kidogo tu awamu ya 5
Una muda gani hujafika Mwanza? Hii stendi toka mwaka 2021 imehama kutoka buzuruga kwenda Nyamhongolo, ni stendi nzuri pia imechangamka sana fursa hii imeifanya miji ya nyamhongolo, Igoma na kisesa kuchangamka zaidi.Nimeambiwa stand ya buzuruga imehamishiwa nyamhongoro Tena imejegwa kisasa na inavutia mno.. Arusha mpaka muda huu hawana stand za maanaa
Hapa mchawi ni kiwanja cha ndege tu, tukipata hiki Mwanza itafunguka zaidi, tayari mashirika ya ndege zaidi ya kumi ya kinataifa yameshaomba miruko kwaajili ya ndege zao.
Naona umepiga kitu cha Arusha asubuhi na mapema, wahaya wanaufaidi kivipi? Kuna vitu gani vinasafirishwa kupelekwa bukoba kwa ndege au kichukuliwa kutoka bukoba?Mnao uwanja wa ndege Tena wa kinataifa. Ila ndo hivo Tena, wahaya ndio wanaufaidi. Hakuna la maana Mwanza, hakuna airline Inawaza ata kuhusu huko mashenzini.
Ingekuwa mashenzini ingekuwa na hadhi ya jiji toka 2000 kipindi hicho Arusha ilikuwa sawa na Nanyamba.Mnao uwanja wa ndege Tena wa kinataifa. Ila ndo hivo Tena, wahaya ndio wanaufaidi. Hakuna la maana Mwanza, hakuna airline Inawaza ata kuhusu huko mashenzini.
Ni Cha kimataifa sema hakuna la maana. Yani mpo hapo Mwanza ila hamjui ata mna uwanja wa kimataifa. Poor, poor.Naona umepiga kitu cha Arusha asubuhi na mapema, wahaya wanaufaidi kivipi? Kuna vitu gani vinasafirishwa kupelekwa bukoba kwa ndege au kichukuliwa kutoka bukoba?
Kiwanja cha ndege cha Mwanza sio cha kimataifa lakini ni cha pili kwa PAX nyuma ya kiwanja cha kimataifa cha Dar, Mwanza na Dar ndio route yenye abiria wengi wa ndege ndani ya Tanzania.
Wewe ndio unaocategorize na kuvipa hadhi viwanja kuwa vya kimataifa?Ni Cha kimataifa sema hakuna la maana. Yani mpo hapo Mwanza ila hamjui ata mna uwanja wa kimataifa. Poor, poor.
Since Jan 2017Una muda gani hujafika Mwanza? Hii stendi toka mwaka 2021 imehama kutoka buzuruga kwenda Nyamhongolo, ni stendi nzuri pia imechangamka sana fursa hii imeifanya miji ya nyamhongolo, Igoma na kisesa kuchangamka zaidi.
Umemaliza πNi mdogo Kwa watu ila una hela kushinda Mwanza.
una magorofa mengi kushinda Mwanza
inaingiza pesa nyingi Nchini kushinda Mwanza
,una majengo marefu na makali kushinda Mwanza,
Mji Maarufu Duniani kushinda Mwanza
Mahoteli kushinda Mwanza
Barabara nzuykushinda Mwanza
Kila kitu umewazidi,nyie Mji mkubwa mna kipi Cha maana kuwavutia watu? ππ
Sio kosa lako, watu wa mwanza mpo slow slow tu. Yani ata kuuliza umeshindwa? Google basi? Nyie sio ata jiji.Wewe ndio unaocategorize na kuvipa hadhi viwanja kuwa vya kimataifa?
Siku ukiridi Mwanza utapotea wallah.Since Jan 2017