Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Arusha mji mdogo sana ukitembea kidogo umejirundika seems moja na unable wakazi wachache sana
 
Ni mdogo Kwa watu ila una hela kushinda Mwanza.

una magorofa mengi kushinda Mwanza

inaingiza pesa nyingi Nchini kushinda Mwanza

,una majengo marefu na makali kushinda Mwanza,

Mji Maarufu Duniani kushinda Mwanza

Mahoteli kushinda Mwanza

Barabara nzuykushinda Mwanza

Kila kitu umewazidi,nyie Mji mkubwa mna kipi Cha maana kuwavutia watu? 😁😁
 
Mwanza uwez linganisha na Arusha. Ni miji iliyopishana sana haikaribiani hata.
Mwanza imeupiga mwingi kitambo icho enzi izo.

Arusha imezidi Mwanza labda kwa usafi tu.
sema tatizo la Mwanza ni kutokuwa na kiwanja cha ndege cha kisasa na pia serikali haikuibeba sana Mwanza ki miundo mbinu km Arusha kidogo tu awamu ya 5
 
Ni mdogo Kwa watu ila una hela kushinda Mwanza.

una magorofa mengi kushinda Mwanza

inaingiza pesa nyingi Nchini kushinda Mwanza

,una majengo marefu na makali kushinda Mwanza,

Mji Maarufu Duniani kushinda Mwanza

Mahoteli kushinda Mwanza

Barabara nzuykushinda Mwanza

Kila kitu umewazidi,nyie Mji mkubwa mna kipi Cha maana kuwavutia watu? 😁😁
Gap la per capita kati ya Arusha na Mwanza unalijua? Japo Mwanza ina watu wengi sana kuliko Arusha lakini bado gap la per capita ni dogo sana.

Tukija kwenye idadi ya maghorofa hapa bado nitabisha na wewe adi asubuhi, ni criteria gani walitumia kuhesabu haya maghorofa pia watuambie na methodology zilizotumika, ningekuwa siijui Arusha ningekubali.

Tukija kwenye mahoteli mazuri ni kweli Arusha ina majengo mazuri kuliko Mwanza lakini pia Mwanza hawapo nyuma wanafanya comeback kwa kujenga mahotel makubwa na ya kisasa.

Mwisho umesema Mwanza ina nini cha kuwavuta watu, kama haina cha maana cha kuwavuta watu kwanini ina watu wengi kuliko Arusha?
 
sema tatizo la Mwanza ni kutokuwa na kiwanja cha ndege cha kisasa na pia serikali haikuibeba sana Mwanza ki miundo mbinu km Arusha kidogo tu awamu ya 5
Hapa mchawi ni kiwanja cha ndege tu, tukipata hiki Mwanza itafunguka zaidi, tayari mashirika ya ndege zaidi ya kumi ya kinataifa yameshaomba miruko kwaajili ya ndege zao.
 
Nimeambiwa stand ya buzuruga imehamishiwa nyamhongoro Tena imejegwa kisasa na inavutia mno.. Arusha mpaka muda huu hawana stand za maanaa
Una muda gani hujafika Mwanza? Hii stendi toka mwaka 2021 imehama kutoka buzuruga kwenda Nyamhongolo, ni stendi nzuri pia imechangamka sana fursa hii imeifanya miji ya nyamhongolo, Igoma na kisesa kuchangamka zaidi.
 
Mnao uwanja wa ndege Tena wa kinataifa. Ila ndo hivo Tena, wahaya ndio wanaufaidi. Hakuna la maana Mwanza, hakuna airline Inawaza ata kuhusu huko mashenzini.
Hapa mchawi ni kiwanja cha ndege tu, tukipata hiki Mwanza itafunguka zaidi, tayari mashirika ya ndege zaidi ya kumi ya kinataifa yameshaomba miruko kwaajili ya ndege zao.
 
Mnao uwanja wa ndege Tena wa kinataifa. Ila ndo hivo Tena, wahaya ndio wanaufaidi. Hakuna la maana Mwanza, hakuna airline Inawaza ata kuhusu huko mashenzini.
Naona umepiga kitu cha Arusha asubuhi na mapema, wahaya wanaufaidi kivipi? Kuna vitu gani vinasafirishwa kupelekwa bukoba kwa ndege au kichukuliwa kutoka bukoba?

Kiwanja cha ndege cha Mwanza sio cha kimataifa lakini ni cha pili kwa PAX nyuma ya kiwanja cha kimataifa cha Dar, Mwanza na Dar ndio route yenye abiria wengi wa ndege ndani ya Tanzania.
 
Ingekuwa mashenzini ingekuwa na hadhi ya jiji toka 2000 kipindi hicho Arusha ilikuwa sawa na Nanyamba.
 
Naona umepiga kitu cha Arusha asubuhi na mapema, wahaya wanaufaidi kivipi? Kuna vitu gani vinasafirishwa kupelekwa bukoba kwa ndege au kichukuliwa kutoka bukoba?

Kiwanja cha ndege cha Mwanza sio cha kimataifa lakini ni cha pili kwa PAX nyuma ya kiwanja cha kimataifa cha Dar, Mwanza na Dar ndio route yenye abiria wengi wa ndege ndani ya Tanzania.
Ni Cha kimataifa sema hakuna la maana. Yani mpo hapo Mwanza ila hamjui ata mna uwanja wa kimataifa. Poor, poor.
 
Wewe ndio unaocategorize na kuvipa hadhi viwanja kuwa vya kimataifa?
 
Una muda gani hujafika Mwanza? Hii stendi toka mwaka 2021 imehama kutoka buzuruga kwenda Nyamhongolo, ni stendi nzuri pia imechangamka sana fursa hii imeifanya miji ya nyamhongolo, Igoma na kisesa kuchangamka zaidi.
Since Jan 2017
 
Ni mdogo Kwa watu ila una hela kushinda Mwanza.

una magorofa mengi kushinda Mwanza

inaingiza pesa nyingi Nchini kushinda Mwanza

,una majengo marefu na makali kushinda Mwanza,

Mji Maarufu Duniani kushinda Mwanza

Mahoteli kushinda Mwanza

Barabara nzuykushinda Mwanza

Kila kitu umewazidi,nyie Mji mkubwa mna kipi Cha maana kuwavutia watu? 😁😁
Umemaliza 👏
 
Back
Top Bottom