Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Umegusa kila kitu,nakupa pongezi kamanda,japo ile jamaa ya makete haitakuelewa.
 
Punguza mihemko na masimulizi ya kwenye makaratasi,weka picha tuone ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Mwanza Regional Hospital Project for OPD!.
Mwanza haipoi hata kidogo na ni jengo zuri sana kwa mbali inafana na Mloganzila nikiita Mtoto wa Mloganzila sio mbaya!View attachment 3165244
Kwa watu wa Mwanza hapo mnaona munepata kitu Cha maana wenyewe ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Mnasahau Mikoa Jiant yenu kama Arusha,Dom na Mbeya hivyo ni vitu vidogo sana na vinajengwa na private sector.

Government inaweka structures za maana eg Mbeya ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Hii ni hostel au madarasa ya chuo wala sio hospital yenye hadhi!
Angalia OPD Mwanza Regional Hospital unaionaje ukilinganisha na godauni lenu hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ