Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mwanza amna kitu kule hebu tuambie kitu gani unique kilichopo kule ukianzia majengo marefu hoteli kali na kumbi kubwa za starehe, Mwanza ni mji uliojaa washamba tu
 
waswahili wanasema mkataa kwao mtumwa...sasa bhana Gtax usije ukawa unaisifia sana mwanza kwakuwa ni nyumbani kama ulivyosema mwenyewe.
.unaambiwa Arusha ni nusu ya uingereza kwa maelezo ya watu
takwimu hizo hapo
 
ukiachilia dar....Mwanza city gallery ndio tanzania wewe na ndio maana wanaiita city gallery
Huwezi kunidanganya lolote kuhusu mwanza...naifahamu mwanza mwanzo mwisho..nimeingia mwanza mwaka 1999....mwanza ni mji wa matukio..matajiri wa mwanza 50% ni majambazi wa kutumia siraha..uvuvi na madini wengi wao wamejificha huko....maisha ya mwanza ni ya hovyoo..japo wenyewe wanakuambia ni mepesi.....
 
hapo mimi nakataa ndugu yangu huenda uliingia na kutoka kimsingi haruaha haiwezi kuikuta mwanza hata kwa kitu kimoja labda hali ya hewa tu bas...mwanza ipo juu kaka na ndio maana tumeweka na ref ka isa hapo ...kwamba inaanza Dar inakuja Mwanza
 
waswahili wanasema mkataa kwao mtumwa...sasa bhana Gtax usije ukawa unaisifia sana mwanza kwakuwa ni nyumbani kama ulivyosema mwenyewe.
.unaambiwa Arusha ni nusu ya uingereza kwa maelezo ya watu
mwambie uyo ngosha🤣🤣
 
Mwanza inakaribiana na Dar kwa kila kitu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…