lusekelo ephraim
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 306
- 234
Mwanza amna kitu kule hebu tuambie kitu gani unique kilichopo kule ukianzia majengo marefu hoteli kali na kumbi kubwa za starehe, Mwanza ni mji uliojaa washamba tuHii Arusha hua ni kuikuza kuza hakuna lolote...mimi ninafanya kazi hapa Arusha mwaka wa tisa sasa na nyumbani kwangu ni Mwanza,maelezo mengi wala hayasaidii nitajichosha bure, Arusha mnaikuza bure tu haina la kutisha sana,kila kukicha mnaongelea watalii ambao wakishuka wanapotelea huko Karatu,Ngorongoro na Serengeti,Arusha ni mikwara tu mzee ni ya kawaida na inaziwa kwa 80% na Mwanza