Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

kaka! mimi nina fact na sio utopolo....sema shida sim ninayotumia storage yake ni 32gb na ram ya 3 nimejaribu sana ku upload ile video hapa ili muone The Rock city ilivyo lakini kwa bahati mbaya file limeonekana kuwa kubwa kuliko uwezo wa simu yangu....ila mngeona moto wa mwanza halafu ndio ungewaambia na wachangiaji wengine! mfano mtu aliyefika dar miaka 10 iliyopita halafu akawa haifuatiii kabisa dar leo hii ukimwambia dar kuna mabas ya mwendo kasi atabisha, ukimwambia dar kuna fly over atakataa, ukimwambia morogoro road kuna 8ways atakataa na mambo mengine mengi kuhusu dar atabisha sababu yeye aliacha dar ya kuingia mjin na vipanya nk kwaiyo hao wanaosema Arusha inaizid mwanza huenda waliondoka mwanza kabla hata bado haijatangazwa kuwa jiji lakin mwanza hii ya sasa ninayoiona mimi kwakwel Arusha inasubir
😂😂😂😂😂
 
Kitu pekee Mwanza inaizidi Arusha ni population tu. Vingine mkae kimya. Nyie ata mall imekuja jana tu. Arusha wana cinema complex, gymkhana, malls, magari , hotels na resorts exposure, lugha zinazoongelewa kimataifa, pana conference centres international, Arusha ni diplomatica hub, hospitality usipime. Yani Mwanza ni ushamba tu na ubishi kuja kujilinganisha na Arusha, calibre ya mwanza ni bukoba , iringa, maana wanafanana isipokuwa idadi tu ya watu.
 
mwanza imetangazwa kuwa jiji...miaka 6 baadae ndio Arisha nayo pia ndio imekuja kutangazwa.....na sifa ya kuwa jini hawaangalii population pekee bali ni vigezo vingi sana vinaangaliwa
 
Kitu pekee Mwanza inaizidi Arusha ni population tu. Vingine mkae kimya. Nyie ata mall imekuja jana tu. Arusha wana cinema complex, gymkhana, malls, magari , hotels na resorts exposure, lugha zinazoongelewa kimataifa, pana conference centres international, Arusha ni diplomatica hub, hospitality usipime. Yani Mwanza ni ushamba tu na ubishi kuja kujilinganisha na Arusha, calibre ya mwanza ni bukoba , iringa, maana wanafanana isipokuwa idadi tu ya watu.
all in all kwa hv mwanza ilivyo mtu hawez nambia kwamba Arusha inaizid Mwanza labda sio mwanza hii ninayoiona hapa
 
mjini watu watakushangaa sana. miji ya wajanja tanzania ni miwili tu. arusha na dar. mwanza ni big village. period.
 
mi sijazungumzia miji ya wajanja rudi kwenye mada utanisoma vzr
 
na wala sijasema Arusha sio mjin nilichozungumzia mwanza ni jiji tofaut na ilivyo jiji la Arusha..!!
Ok, Mwanza mjini yani Ilemela, pia bado hapana maajabu ya kupafananisha na Arusha. Ukisema eti Mwanza ilitangulia kutambuliwa kama jiji, hio sio issue , population size ilibeba na pia politics. Maana ata Arusha wamewatangulia karibu kila kitu. Kwanzia magari, magorofa ya lifti, supermarkets, malls, majumba ya maana, you name it. Exposure nk nk. Na ndio maana hapo Mwanza matajiri kutoka Arusha ndio wamepajanjarusha. Alafu kila kijana wa Mwanza akiamia Arusha hataki kurudi kwao , nimeiona mara nyingi sana. na wana acknowledge mwanza bado sana.
 
bado ndugu yangu haujanishawaishi...we unaizungumzia mwanza ya miaka gan kaka? na matajir wa mwanza mbona hawana asili ya uko uchagan? utasemaje matajir wengi wa Arusha ndio wameijanjarua mwanza? ikimbukwe kigezo cha mji kupandishwa kuwa na hadhi ya jiji factor sio population pekee vipo na vitu vingine pia huwa wanaangalia...we mwanza inaikaribia dar useme mwanza bado hv kweli jamaa? Chuga sio kubaya ni mji wa kijanja kutokana na lifestyle ya watu wake na msukuma asili yake ni hospitality sasa hii lifestyle ya msukuma watu wana define kama mshamba yaan ili aonekana na yeye mjanja watu wanataka aishi lifestyle kama yao. ki ukwel Chuga ni nzur lakin kwa Mwanza hii bado Chuga ikasome
 
kama ni majumba marefu kaka mwanza yapo...tena kama pale mjin hakuna kabisa nyumba za chini kama ilivyo chuga .... yaan mwanza ni ghorofa tupu town pale. gar za maana zipo, watu tunaonana nao wanaburuza mipira ya hatar town hapa, supermarkets zipo za kutosha, mall ipo tena ya hatar na ukiulizia mall kwa bongo hapa watu watakwambia ni mlimani city shopping mall & rock city shopping mall nadhan ndio mall zenye majina tz hapa na vitu vingine vingi tu! we ukitaka kujiridhisha ingia tu youtube angalia mandhar ya jiji la mwanza ya hv sasa kisha angalia mandhari ya jiji la Arusha ya hv sasa utapata majibu, simu yangu ingekuwa na uwezo mkubwa sana nonge upload izo video uone moto wa the rock city ili uamin....na hata kiserikali Chuga ni jiji no 3 na no 2 ni mwanza
(1) Dar
(2) Mwanza
(3) Arusha

kiserikali ipo ivyo yaan Arusha haijawahi kukaa kwenye no 2
 
Mall kubwa tanzania nzima inaitwa AIM mall ipo Arusha. Tembea uone. acha assumptions. Kaa ukijua mimi ni mzawa na mkazi wa Dar by the way. Kiserikali utafeli. Maana Jiji la Arusha na jiji la mwanza yani ilemela. Ilemela imeachwa kila kitu kuanzia mapato , uwekezaji nk. unasahau arusha Triple A, Club D ndio kubwa kwa Tanzania, au kwakuwa wenzetu hawana maneno maneno sana? c'mon Mwanza hakuna ata ndege ya kimataifa ya abiria hadi leo hii. Embu acha zako wewe. Mwanza ni pakishamba sana yani.
 
Hujiulizi kwa nini kila kampuni, mfano woolworths, subway, sijui na uber , nk zinaanzia dar na au kufatiwa na arusha na sio mwanza wala wapi?
 
Mji gani hauna ata international school jamani?
 
haahaahaahaa! yaan useme Arusha hawana maneno maneno? we jamaa kiboko, mall gan iyo kubwa iliyopo Arusha watu wasiijue ndugu yangu? yaan kuwe na mall kubwa tanzania nzima watu wa hapo Arusha wasijue kama kuna mall? kitanzania mall ni mliman city & rock cith ndio mall ambazo hata ukimuamsha mtu usingizin anakutajia....na ndio maana nimekuuliza we unaiongelea mwanza ya miaka gan? kama umefika siku za hv karibun huwezi ifananisha Arusha na Mwanza kaka huenda labda we unaongelea ki lifestyle tu sababu Arusha starehe zimezid lakin ki mjin mwanza mjin sana na sio ilemela tu mwanza ni mzin zaidi ya Arusha....kama ni majengo marefu mwanza mjin ni ghorofa tupu hakuna nyumba za chini
 
Hujiulizi kwa nini kila kampuni, mfano woolworths, subway, sijui na uber , nk zinaanzia dar na au kufatiwa na arusha na sio mwanza wala wapi?
kwaiyo kabla ya uber kuanzishwa dar ilikuwa sio jiji? au kwa mfano uber ndio ingeanzia Arusha ungesema Arusha ni zaidi ya dar ety kwa sababu uber imeanzia uko Arusha? vitu vingine ni mwekezaji tu anaangalia wapi pa kuwekeza....!! kwan uber si ni usafir tu kama ulivyo usafir mwingine? sasa hv kila asiye na usafir ana dereva wake kama akina sisi maskini tunam check tu mshkaji wa boda anakuja anatupeleka safar, mwenye namba za tax dreva atamcheck tu tax dreva wake anakuja kumchukua safar ndio maisha yanavyokwenda.....kinachoibeba Arusha ni watalii na ndio maana kukawa na hotel, migahawa na baadhi ya huduma nyingine lakin kwa anayebisha ninachozungumza aingie youtube na hata serikali inathibitisha hili kwenye vyombo vyake
 
mwanza ipo juu sema watu wanaidharau sababu wenyewji ni wasukuma
Upo sahihi, wasukuma wapo underrated sana ujue, ila pale Ar' Mchaga ndio kapashika kwaio maneno mengi, na kingine ni hali ya hewa lkn mji Mwanza pako poa hata kiusalama na watu wakarimu lkn chuga ujambazi visu nnje nnje km Wazulu wale jamaa hata Washashi wa Mara walio jaa mwanza hawana fujo hizo, na upana wamji mwanza kubwa na ziwa ndio kila kitu Arusha pafinyu sanaa, utalii ndio ume pafanya pang'ae kiana lkn Mwanza ipo juu.
 
Back
Top Bottom