Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Unataka kuhamisha mada ...no door for exit mazee[emoji28][emoji12][emoji12]
Umeshamlowanisha yupo hoi bin taaban, huwa na waambia hizo ghorofa 20000 za michongo zipo wapi tulinganishe na ghorofa 9 za Mwanza ya washamba.
 
Mwanza hakuna Hotel ya nyota 5 hata moja
Ni kweli kabisa hakuna nyota 5 ila arusha hamna resort hata Moja ..fanya Khoo kama unabisha[emoji116][emoji116]
busybee_cabins_320501838_532919452090458_5276194023129321614_n.jpg
16474a0a494e2bb340d178db778ecaec.jpg
7903e2ad81b4c6ba11ca4e8c21538b6f.jpg
 
Naona kwenye picha CBD .umeishiwa pumzi ..
Twende kwenye residential apartment and villa ...leta picha za njiro kuanzia nane nane,Kwa msola ,mpaka themi huku ..
[emoji116][emoji116]
[emoji15].. hizi setting na architecture zinapatikana mwanza tu ...... location Kali kama hii huwezi ipata popote tanzania
20230102_215858.jpg
 
Naona kwenye picha CBD .umeishiwa pumzi ..
Twende kwenye residential apartment and villa ...leta picha za njiro kuanzia nane nane,Kwa msola ,mpaka themi huku ..
[emoji116][emoji116]
[emoji15].. hizi setting na architecture zinapatikana mwanza tu ...... location Kali kama hii huwezi ipata popote tanzaniaView attachment 2467233
Wataleta mbavu za mbwa za pale unga limited.
 
Back
Top Bottom