Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Vitu kama hivi huwa hawapendi kuviona, hapa wamekaribia kukata roho kama kuku wa kideli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu kama hivi huwa hawapendi kuviona, hapa wamekaribia kukata roho kama kuku wa kideli.
Huduma za afya . hospital ya rufaa bugando ... ukiniletea hospital ya rufaa Kali kuzidi hii nafunga mjadala umeshinda[emoji91]Arusha kina maghorofa ya kufa mtu,Mwanza mnapost magofuView attachment 2467253View attachment 2467254
Arusha nzima hili ndio gorofa lao la maana kidogo na lile la tecno zaidi ya hapo ni vijumba vya tembe vilivyopanda hewani.Arusha kina maghorofa ya kufa mtu,Mwanza mnapost magofuView attachment 2467253View attachment 2467254
Capripoint inakimbiza cbd yote ya arusha.
Huwezi kufunga majadala kwa7bu ya hospital moja huko ni kukimbia majukumu yakoHuduma za afya . hospital ya rufaa bugando ... ukiniletea hospital ya rufaa Kali kuzidi hii nafunga mjadala umeshinda[emoji91]View attachment 2467257View attachment 2467258View attachment 2467259
Hayo ni majengo mawili tofauti,ona sasa ushaanza kupoteanaArusha nzima hili ndio gorofa lao la maana kidogo na lile la tecno zaidi ya hapo ni vijumba vya tembe vilipanda hewani.
Huduma za afya . hospital ya rufaa bugando ... ukiniletea hospital ya rufaa Kali kuzidi hii nafunga mjadala umeshinda[emoji91]View attachment 2467257View attachment 2467258View attachment 2467259
Tukija kwa mtindo kama wako wa kajengo kamoja kamoja tutatumiaka miaka 365 na siku 365 kumaliza majenzi yote bora ya Mwanza.Mwanza acheni aibu ndogo ndogo kwann mnapost magofu?View attachment 2467260View attachment 2467261View attachment 2467262
Apartment flats [emoji116][emoji91][emoji91]Mwanza acheni aibu ndogo ndogo kwann mnapost magofu?View attachment 2467260View attachment 2467261View attachment 2467262
Acha twende na mtindo wake anaoutakaTukija kwa mtindo kama wako wa kajengo kamoja kamoja tutatumiaka miaka 365 na siku 365 kumaliza majenzi yote bora ya Mwanza.
Arusha naijua na mwanza naijua, hicho kijengo ni kimoja katika angle mbili tofaut.Hayo ni majengo mawili tofauti,ona sasa ushaanza kupoteana
Ukienda ilemela tutaenda kuzika watu kwa presha za kupanda na kushuka.Apartment flats [emoji116][emoji91][emoji91]View attachment 2467267View attachment 2467268View attachment 2467269
We nazi jengo moja ni la nssf na lingine pspf tatizo lako hakuna unalojuaArusha naijua na mwanza naijua, hicho kijengo ni kimoja katika angle mbili tofaut.
Mikdde wewe simba wa mbuga serengeti unawinda mpaka viboko na unakula adi mamba.Acha twende na mtindo wake anaoutaka
Hii icc kuna ajabu gani kwenye hili jengo la zama za mawe za kati, japo bado linavutia kidogo leta vitu kama hivi mnaweza kuwafikia Mwanza kwa miaka 20 ijayo....msivunjike moyo.Huu ni mji wa kimataifa msilinganishe na hicho kijiji cha wavua dagaaView attachment 2467270View attachment 2467271View attachment 2467272
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Huu ni mji wa kimataifa msilinganishe na hicho kijiji cha wavua dagaaView attachment 2467270View attachment 2467271View attachment 2467272
Acha kupanic twende uwanjani.We nazi jengo moja ni la nssf na lingine pspf tatizo lako hakuna unalojua