Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Arusha kina maghorofa ya kufa mtu,Mwanza mnapost magofuView attachment 2467253View attachment 2467254
Huduma za afya . hospital ya rufaa bugando ... ukiniletea hospital ya rufaa Kali kuzidi hii nafunga mjadala umeshinda[emoji91]
20220827_190357.jpg
20220916_165718.jpg
IMG-20221105-WA0015.jpg
 
Hata hospital ya mkoa ikizidi hii [emoji116] niite shangazi [emoji116]
20220916_165752.jpg
20220916_165832.jpg
 
Arusha nzima hili ndio gorofa lao la maana kidogo na lile la tecno zaidi ya hapo ni vijumba vya tembe vilipanda hewani.
Hayo ni majengo mawili tofauti,ona sasa ushaanza kupoteana
 
Huu ni mji wa kimataifa msilinganishe na hicho kijiji cha wavua dagaa
images%20(5).jpg
images%20(6).jpg
images%20(7).jpg
 
Back
Top Bottom