Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Ndani ya hii video ndio utajua mtandao wa barabara za lami za mkoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye majengo tumewatoa jasho wamekimbilia kwenye mtandao wa barabara za Tanroads.Sasa kwa ukubwa wa Mwanza na ilivyo strategic isiwe na mtandao mkubwa wa bara bara za lami kweli [emoji3]
 
Ndani ya hii video ndio utajua mtandao wa barabara za lami za mkoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Barabara kuu km 269km zina lami za mkoa 32km zina lami jumla 301km..
Apple doesn't fall far from the tree

Haya suala la barabara tumeshaelewana mko nyuma twende kwenye NN? Chagua
Screenshot_20230221_184237_PDF%20Reader.jpg

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Barabara kuu km 269km zina lami za mkoa 32km zina lami jumla 301km..
Apple doesn't fall far from the tree

Haya suala la barabara tumeshaelewana mko nyuma twende kwenye NN? Chagua View attachment 2525496

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Geographic size ya mwanza ni ndogo ,,,hamna barabara ya lami kuu inayovuka km 100 hujaingia mkoa mwingine...
Mwanza Hadi mpaka wa shinyanga ni km 102
Mwanza Hadi mpaka wa simiyu ni km 65
Mwanza Hadi Mpaka wa geita ni km 70

Wakati ARUSHA
Arusha Hadi minjingu manyara border ni km 120
Arusha Hadi namanga border ni km 150
Arusha Hadi Kilimanjaro border ni km 40
Ukijumlisha hapo ,,,utagundua kuwa barabara kuu huamuliwa na ukubwa wa mkoa ...
Leta takwimu za barabara za mikoa, wilaya na za TAMISEMI

We jamaa ni Mr excuses, hata kigoma ni mkoa mkubwa ila hauna barabara za lami ndio zinajengwa sasa

Nmekuambia leta jambo lingine barabara hamfikii Arusha sijakuambia unipe excuses

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
We jamaa ni Mr excuses, hata kigoma ni mkoa mkubwa ila hauna barabara za lami ndio zinajengwa sasa

Nmekuambia leta jambo lingine barabara hamfikii Arusha sijakuambia unipe excuses

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Excuses au uhalisia ,,,,,,,,,,,,... barabara kuu trunk roads ukiwa mwanza huwezi kwenda km 100 hujaingia mkoa mwingine.....
Other wise zungumzia barabara za mikoa ndio nitakuelewa ...
Na ulete takwimu za barabara za mkoa ili nikubali arusha mko juu.

Mfano mkoa wa dodoma,, barabara Moja tu ya kufika mpaka wa iringa ni km 170 mtera.
Barabara ya kufika mpaka wa morogoro ni km 150 kibaigwa .
Barabara ya kufika mpaka wa manyara kondoa ni Km 190
Hii Ina maana Gani ,,,ni kuwa ukubwa wa mkoa huamua ukubwa wa barabara kuu.
Tabora tu Toka tabora Hadi mpaka wa katavi ni km almost 300

We jamaa mdomo sana,hukubali tu yaishe

Dar ina 601km zote zina lami na ndio mkoa mdogo zaidi, leta excuse ingine View attachment g4d078f64d4aef68ef5e3d368abed575.pdf

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Habari zako siyo shindanishi kabisa, piki piki mpaka watendaji wa kata wamepewa. Hivi kwani bichwa lako Lina ubongo kweli au ushauunguza na Moshi. piki piki kweli???????????????.
Soma maneno kwenye Kituo Cha Polisi uniambie yameandikwaje?
 
Dar ina 601km zote zina lami na ndio mkoa mdogo zaidi, leta excuse ingine View attachment 2525583

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wamesema zote ni trunk roads.....nipe urefu wa barabara kutoka town Hadi kiluvya, morogoro road
Town Hadi bunju mapinga, bagamoyo road
Town Hadi kongowe kilwa roads...
Hizi ndio barabara kuu zinazounganisha mikoa..maana mim hapa Nazungumzia barabara kuu ..
Hizo km 601 zote ni trunk roads?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom