Excuses au uhalisia ,,,,,,,,,,,,... barabara kuu trunk roads ukiwa mwanza huwezi kwenda km 100 hujaingia mkoa mwingine.....
Other wise zungumzia barabara za mikoa ndio nitakuelewa ...
Na ulete takwimu za barabara za mkoa ili nikubali arusha mko juu.
Mfano mkoa wa dodoma,, barabara Moja tu ya kufika mpaka wa iringa ni km 170 mtera.
Barabara ya kufika mpaka wa morogoro ni km 150 kibaigwa .
Barabara ya kufika mpaka wa manyara kondoa ni Km 190
Hii Ina maana Gani ,,,ni kuwa ukubwa wa mkoa huamua ukubwa wa barabara kuu.
Tabora tu Toka tabora Hadi mpaka wa katavi ni km almost 300
Sent using
Jamii Forums mobile app