Hii pekee inatosha a nguvu na ArushaMimi huwa napenda picha.
Leo tuko kirumba, maeneo ya Ghana, Nyamanoro nk.
View attachment 2526131
View attachment 2526132
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii pekee inatosha a nguvu na ArushaMimi huwa napenda picha.
Leo tuko kirumba, maeneo ya Ghana, Nyamanoro nk.
View attachment 2526131
View attachment 2526132
Usiniquote mimi kama hauna kichwa cha kubattle na ngoshaSasa shamba city munaleta mapicha sa vivuko kwani sisi tuna lake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Arusha kuna watoto wazuri[emoji1][emoji1][emoji1] acha ujinga kijana njoo mwanza kunapisi kali zenye maumbo yaoChuga sio majengo ni lifesyle, $ dola, madini, chakula mzuriii, watalii kibao...mwanza kitu gani..hakuna pesa...hakuna matajiri wanaoweza tupa pesaa... ubabe wa kutosa.. watoto wakali.. mwanza ni maushamba tuu... chaga !! Ni balaaa...
Duuu. Picha la kutisha ila ghana ya moto sanaMimi huwa napenda picha.
Leo tuko kirumba, maeneo ya Ghana, Nyamanoro nk.
View attachment 2526131
View attachment 2526132
Hii pekee inatoshana nguvu na Arusha
Wanasema wanavua wazungu ila ujinga wanaopitia mpaka kuwapata ni wakipuuzi kweli. Yaani kifupi wanajitoa akili kwanza.Usiniquote mimi kama hauna kichwa cha kubattle na ngosha
washamba ni nyie watunza pampers za wazungu[emoji16] jifunze kuficha hisia zako,stress za kufua vyupi vya shemeji yako kama vipi muombe game[emoji1].... wasaidieni mama zenu biashara nzuri za kufanya waachane na biashara ya kuuza ndizi hovyo hovyo kama mabogus.. wanakaa juani mda mrefu vyupi vyao vinavunda
Ukitaka majadara na mimi toa maneno ya hovyo kuwahusu watu wa mwanza weka point hapa tuivunje,kinyume na hapo nitakushushia moto+ fala weeee View attachment 2526232
Mna uhakika hapa ni Ghana ,,mwanza au ni Ghana Accra [emoji28][emoji28][emoji28]Mimi huwa napenda picha.
Leo tuko kirumba, maeneo ya Ghana, Nyamanoro nk.
View attachment 2526131
View attachment 2526132
Big doesn't equate to smartness ,cityvibes,riches ,get your facts rightSerikali na Dunia inatambua hivi. Tunaomba rank izingatiwe jamani. Hii sio vita ni facts tu.
View attachment 2526070
Kwa hiyo nisitume nyingine🤣🤣Hii pekee inatosha a nguvu na Arusha
Na wanaweza wasijengewe kabisa,bora sisi JPM Bridge ujenzi unaendelea hata kama ni taratibu lakini tunajua by 2024 daraja litakamilikaWalimchukia Magu ila yule jamaa angekuwa hai hii stendi yao ingekuwa inajengwa sasa, kwa staili ya serikali ya sasa itajengwa ila taratibu au ikatelekezwa kama ya moshi.
It's your opinion not factsBig doesn't equate to smartness ,cityvibes,riches ,get your facts right
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Development kama nini?
Infrastructures, housing,planning, industrial areas, social servicesDevelopment kama nini?
Gharama ya daraja la Jpm unakusanya gharama ya barabara za mkoa mzima wa Arusha zenye lami na bado hazifikiiNa wanaweza wasijengewe kabisa,bora sisi JPM Bridge ujenzi unaendelea hata kama ni taratibu lakini tunajua by 2024 daraja litakamilika
Tuanze na infrastructures.Infrastructures, housing,planning, industrial areas, social services
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Porojo hizi hatari sana, its a bit expensive But Will it serve the same purpose?Gharama ya daraja la Jpm unakusanya gharama ya barabara za mkoa mzima wa Arusha zenye lami na bado hazifikii
Kwenye huu uzi ndio umekuja leo?topic ya barabara ishajadiliwa na ikaisha Arusha 425km zina lami while Mwanza 301km zina lamiTuanze na infrastructures.
Kipi kinakuonesha arusha iko mbele ya mwanza ki-infrastructire? With vivid examples
Halina impact kweny uchumi kivip?Porojo hizi hatari sana, its a bit expensive But Will it serve the same purpose?
Yenyewe inavusha gari chache sana kwenda Sengerema hata kiuchumi haina impact lubwa kivile
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hamn kuna sehem nmesoma nanukuu "KUNA MDA INABIDI MTU APOKEWE ACCORDING TO AKILI ZAKE "Kwenye huu uzi ndio umekuja leo?topic ya barabara ishajadiliwa na ikaisha Arusha 425km zina lami while Mwanza 301km zina lami
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app