Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Sasa shamba city munaleta mapicha sa vivuko kwani sisi tuna lake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiniquote mimi kama hauna kichwa cha kubattle na ngosha

washamba ni nyie watunza pampers za wazungu[emoji16] jifunze kuficha hisia zako,stress za kufua vyupi vya shemeji yako kama vipi muombe game[emoji1].... wasaidieni mama zenu biashara nzuri za kufanya waachane na biashara ya kuuza ndizi hovyo hovyo kama mabogus.. wanakaa juani mda mrefu vyupi vyao vinavunda

Ukitaka majadara na mimi toa maneno ya hovyo kuwahusu watu wa mwanza weka point hapa tuivunje,kinyume na hapo nitakushushia moto+ fala weeee
Market-Arusha-Tanzania.jpg
 
Chuga sio majengo ni lifesyle, $ dola, madini, chakula mzuriii, watalii kibao...mwanza kitu gani..hakuna pesa...hakuna matajiri wanaoweza tupa pesaa... ubabe wa kutosa.. watoto wakali.. mwanza ni maushamba tuu... chaga !! Ni balaaa...
Arusha kuna watoto wazuri[emoji1][emoji1][emoji1] acha ujinga kijana njoo mwanza kunapisi kali zenye maumbo yao

Nimekula sana pisi za kiarusha bure kabisa yapo kama manaume
 
Usiniquote mimi kama hauna kichwa cha kubattle na ngosha

washamba ni nyie watunza pampers za wazungu[emoji16] jifunze kuficha hisia zako,stress za kufua vyupi vya shemeji yako kama vipi muombe game[emoji1].... wasaidieni mama zenu biashara nzuri za kufanya waachane na biashara ya kuuza ndizi hovyo hovyo kama mabogus.. wanakaa juani mda mrefu vyupi vyao vinavunda

Ukitaka majadara na mimi toa maneno ya hovyo kuwahusu watu wa mwanza weka point hapa tuivunje,kinyume na hapo nitakushushia moto+ fala weeee View attachment 2526232
Wanasema wanavua wazungu ila ujinga wanaopitia mpaka kuwapata ni wakipuuzi kweli. Yaani kifupi wanajitoa akili kwanza.
 
Walimchukia Magu ila yule jamaa angekuwa hai hii stendi yao ingekuwa inajengwa sasa, kwa staili ya serikali ya sasa itajengwa ila taratibu au ikatelekezwa kama ya moshi.
Na wanaweza wasijengewe kabisa,bora sisi JPM Bridge ujenzi unaendelea hata kama ni taratibu lakini tunajua by 2024 daraja litakamilika
 
Gharama ya daraja la Jpm unakusanya gharama ya barabara za mkoa mzima wa Arusha zenye lami na bado hazifikii
Porojo hizi hatari sana, its a bit expensive But Will it serve the same purpose?
Yenyewe inavusha gari chache sana kwenda Sengerema hata kiuchumi haina impact lubwa kivile

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom