Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Eti hii ndio CBD [emoji23][emoji23]
Screenshot_20230228-153648~2.jpg
 
My friend my friend kumbe hujaeda arusha

Nani kakuambia hapo ni cbd hapo ni kwa mkuu wa mkoa na hiz picha zako za kugoogle

Cbd ni hii sasa
Nyinyi wenyewe si ndio hamtaki kuleta picha. Acha sisi tujizolee Google [emoji38][emoji38]
 
Kaka hi ndo arusha inabattle na mwanza.

Mwanza tunajivunjia heshima. Saiv mtu wa arusha akiongea na muacha [emoji850].

Nshanza kujua why kila mkoa ukipata kagorofa unakuja kubattle na mwanza. Ukwel ni kwamba wanataman wawe kama mwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hata serikali inajua ikitoka Dar inakuja Mwanza, halafu wengine ndio wanafuatia
 
Back
Top Bottom