Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Hili jengo litakuwa kubwa sanaView attachment 2581139
Watakuambia mwanza imepooza kwenye sekta hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili jengo litakuwa kubwa sanaView attachment 2581139
Watakuambia mwanza imepooza kwenye sekta hii.
Mbona naona Yale mabanda yenu ya nguruwe tuu kule milimani ? 😁😁Siwasikii tena, baada ya kuwapa view ya igogo
Sio maneno yangu ni maneno ya Wadau 👇View attachment 2581139
Watakuambia mwanza imepooza kwenye sekta hii.
Cladding imeanza mambo ni 🔥🔥🔥🔥Watu wa kaskazini na wakenya wanafanana sana tabia, ni wazee wa sifa na kupublish vitu vya uongo ili kujikweza, mara mahotel mengi Tanzania nzima wanaongoza, mara maghorofa, mara utajiri wanaongoza, ukiwaambia waje kwa ground kila siku kupost jengo moja.
Mnajiongelesha ongelesha tu. Mwanza ni shambani tu. Hakuna la maana. Mwanza haijaizidi Arusha kwa lolote la maana. Arusha ni cosmopolitan city, mwanza kwanini lakini nyie washamba mnajikutakuta tu eti mnashindana na watu walionendelea way before you and a very much ahead of you? Nobody cares about mwanza jamani. Hakuna yani. Mwanza is so insecure. Pambaneni na hali zenu. Arusha na dar hakuna mtu anaiwaza mwanza wr think its just another town with no influence, nobody cares.Watakuja na swaga za maneno matupu
Mnajiongelesha, mkishapigwa ndo mnakuja na vipicha uchwara, vitu vya kawaida sana alafu. Ndio maana mnaonekana washamba, what's special there? 🤣Wapelekee moto hao meno kuoza!
Achana nao washamba hao. Sisi Arusha tuliwatangulia mbali sana. Sio level zao. Huwezi ona watu wanajipanga au wanatokea mashenzini kwenda kupiga picha na kushinda hapo, ila mwanza sasa,dah ukitoa rock city mall ambayo pia ni ushuzi tu, hauna amenities za maana, na malaika, ni bora ata bagamoyoCladding imeanza mambo ni 🔥🔥🔥🔥 View attachment 2581406View attachment 2581407Najua mtachukia 🤣🤣
Ilo jengo litakuwa empty kwa 95% ndani ya miaka 25.Cladding imeanza mambo ni 🔥🔥🔥🔥 View attachment 2581406View attachment 2581407Najua mtachukia 🤣🤣
Ulishaona mtu wa Mwanza anawaza hiyo miji, punguzeni shobo, kimji chenu kidogo sana lakini kelele nyingi.Mnajiongelesha ongelesha tu. Mwanza ni shambani tu. Hakuna la maana. Mwanza haijaizidi Arusha kwa lolote la maana. Arusha ni cosmopolitan city, mwanza kwanini lakini nyie washamba mnajikutakuta tu eti mnashindana na watu walionendelea way before you and a very much ahead of you? Nobody cares about mwanza jamani. Hakuna yani. Mwanza is so insecure. Pambaneni na hali zenu. Arusha na dar hakuna mtu anaiwaza mwanza wr think its just another town with no influence, nobody cares.
Kipi special hapo Arusha?Mnajiongelesha, mkishapigwa ndo mnakuja na vipicha uchwara, vitu vya kawaida sana alafu. Ndio maana mnaonekana washamba, what's special there? 🤣
Mngetutangulia mngepewa nyie hadhi ya jiji kwanza kabla yetu, naona unajifariji, hayo maneno waambieni malofa wenzenu wasioijua arusha.Achana nao washamba hao. Sisi Arusha tuliwatangulia mbali sana. Sio level zao. Huwezi ona watu wanajipanga au wanatokea mashenzini kwenda kupiga picha na kushinda hapo, ila mwanza sasa,dah ukitoa rock city mall ambayo pia ni ushuzi tu, hauna amenities za maana, na malaika, ni bora ata bagamoyo
Watu wa Mwanza wanapenda mji wao na hawana shobo na miji mingine ndio maana wanautamaduni wa kupiga picha cause wanajiamini na picha inatoa details za kutosha kuliko maneno.Achana nao washamba hao. Sisi Arusha tuliwatangulia mbali sana. Sio level zao. Huwezi ona watu wanajipanga au wanatokea mashenzini kwenda kupiga picha na kushinda hapo, ila mwanza sasa,dah ukitoa rock city mall ambayo pia ni ushuzi tu, hauna amenities za maana, na malaika, ni bora ata bagamoyo
Senior stupid from njombe, KAMWENE wewe.Mnajiongelesha ongelesha tu. Mwanza ni shambani tu. Hakuna la maana. Mwanza haijaizidi Arusha kwa lolote la maana. Arusha ni cosmopolitan city, mwanza kwanini lakini nyie washamba mnajikutakuta tu eti mnashindana na watu walionendelea way before you and a very much ahead of you? Nobody cares about mwanza jamani. Hakuna yani. Mwanza is so insecure. Pambaneni na hali zenu. Arusha na dar hakuna mtu anaiwaza mwanza wr think its just another town with no influence, nobody cares.
What's special kwenye maneno yako??. Huna facts Kaa kimya, Arusha ni kama Dodoma tu.Mnajiongelesha, mkishapigwa ndo mnakuja na vipicha uchwara, vitu vya kawaida sana alafu. Ndio maana mnaonekana washamba, what's special there? 🤣
Bara bara ya Rose Arusha unaijua kweli au mnajazana upumbavu tu. Mtaa mchafu kama zizi la ng'ombe.Achana nao washamba hao. Sisi Arusha tuliwatangulia mbali sana. Sio level zao. Huwezi ona watu wanajipanga au wanatokea mashenzini kwenda kupiga picha na kushinda hapo, ila mwanza sasa,dah ukitoa rock city mall ambayo pia ni ushuzi tu, hauna amenities za maana, na malaika, ni bora ata bagamoyo
Achana nao washamba hao. Sisi Arusha tuliwatangulia mbali sana. Sio level zao. Huwezi ona watu wanajipanga au wanatokea mashenzini kwenda kupiga picha na kushinda hapo, ila mwanza sasa,dah ukitoa rock city mall ambayo pia ni ushuzi tu, hauna amenities za maana, na malaika, ni bora ata bagamoyo
Unajitoa ufahamu, kaskazini ndo inaishobokea mwanza. Kwanza mtu atoke let's say Mwanza au Dsm aende Arusha akawekeze Nini kwa mfano?. Mnabebwa na miradi ya asasi za kiserikali, vinginevyo nyie ni Dodoma iliyochangamka. Hakuna kitu hapo punguzeni bangi akili ikae mahala pakeAchana nao washamba hao. Sisi Arusha tuliwatangulia mbali sana. Sio level zao. Huwezi ona watu wanajipanga au wanatokea mashenzini kwenda kupiga picha na kushinda hapo, ila mwanza sasa,dah ukitoa rock city mall ambayo pia ni ushuzi tu, hauna amenities za maana, na malaika, ni bora ata bagamoyo
Huyu ni BONYOKWA mweupe, kifupi tunahangaika na PWAGU.Mngetutangulia mngepewa nyie hadhi ya jiji kwanza kabla yetu, naona unajifariji, hayo maneno waambieni malofa wenzenu wasioijua arusha.
Sio maneno yangu [emoji1787][emoji1787]Cladding imeanza mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] View attachment 2581406View attachment 2581407Najua mtachukia [emoji1787][emoji1787]
Kila siku nasemaga Tanzania Ina watu incompetent sana, yaani unakuta spaces ziko wazi ila wamekomaa na bei zile zile za miaka yote..Sio maneno yangu [emoji1787][emoji1787]View attachment 2581587