Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

View attachment 2581139
Watakuambia mwanza imepooza kwenye sekta hii.
Sio maneno yangu ni maneno ya Wadau 👇
Screenshot_20230408-185523.jpg
 
Watu wa kaskazini na wakenya wanafanana sana tabia, ni wazee wa sifa na kupublish vitu vya uongo ili kujikweza, mara mahotel mengi Tanzania nzima wanaongoza, mara maghorofa, mara utajiri wanaongoza, ukiwaambia waje kwa ground kila siku kupost jengo moja.
Cladding imeanza mambo ni 🔥🔥🔥🔥
Screenshot_20230408-180200.jpg
IMG_7474.jpg
Najua mtachukia 🤣🤣
 
Watakuja na swaga za maneno matupu
Mnajiongelesha ongelesha tu. Mwanza ni shambani tu. Hakuna la maana. Mwanza haijaizidi Arusha kwa lolote la maana. Arusha ni cosmopolitan city, mwanza kwanini lakini nyie washamba mnajikutakuta tu eti mnashindana na watu walionendelea way before you and a very much ahead of you? Nobody cares about mwanza jamani. Hakuna yani. Mwanza is so insecure. Pambaneni na hali zenu. Arusha na dar hakuna mtu anaiwaza mwanza wr think its just another town with no influence, nobody cares.
 
Cladding imeanza mambo ni 🔥🔥🔥🔥 View attachment 2581406View attachment 2581407Najua mtachukia 🤣🤣
Achana nao washamba hao. Sisi Arusha tuliwatangulia mbali sana. Sio level zao. Huwezi ona watu wanajipanga au wanatokea mashenzini kwenda kupiga picha na kushinda hapo, ila mwanza sasa,dah ukitoa rock city mall ambayo pia ni ushuzi tu, hauna amenities za maana, na malaika, ni bora ata bagamoyo
 
Mnajiongelesha ongelesha tu. Mwanza ni shambani tu. Hakuna la maana. Mwanza haijaizidi Arusha kwa lolote la maana. Arusha ni cosmopolitan city, mwanza kwanini lakini nyie washamba mnajikutakuta tu eti mnashindana na watu walionendelea way before you and a very much ahead of you? Nobody cares about mwanza jamani. Hakuna yani. Mwanza is so insecure. Pambaneni na hali zenu. Arusha na dar hakuna mtu anaiwaza mwanza wr think its just another town with no influence, nobody cares.
Ulishaona mtu wa Mwanza anawaza hiyo miji, punguzeni shobo, kimji chenu kidogo sana lakini kelele nyingi.
 
Achana nao washamba hao. Sisi Arusha tuliwatangulia mbali sana. Sio level zao. Huwezi ona watu wanajipanga au wanatokea mashenzini kwenda kupiga picha na kushinda hapo, ila mwanza sasa,dah ukitoa rock city mall ambayo pia ni ushuzi tu, hauna amenities za maana, na malaika, ni bora ata bagamoyo
Mngetutangulia mngepewa nyie hadhi ya jiji kwanza kabla yetu, naona unajifariji, hayo maneno waambieni malofa wenzenu wasioijua arusha.
 
Achana nao washamba hao. Sisi Arusha tuliwatangulia mbali sana. Sio level zao. Huwezi ona watu wanajipanga au wanatokea mashenzini kwenda kupiga picha na kushinda hapo, ila mwanza sasa,dah ukitoa rock city mall ambayo pia ni ushuzi tu, hauna amenities za maana, na malaika, ni bora ata bagamoyo
Watu wa Mwanza wanapenda mji wao na hawana shobo na miji mingine ndio maana wanautamaduni wa kupiga picha cause wanajiamini na picha inatoa details za kutosha kuliko maneno.
 
Mnajiongelesha ongelesha tu. Mwanza ni shambani tu. Hakuna la maana. Mwanza haijaizidi Arusha kwa lolote la maana. Arusha ni cosmopolitan city, mwanza kwanini lakini nyie washamba mnajikutakuta tu eti mnashindana na watu walionendelea way before you and a very much ahead of you? Nobody cares about mwanza jamani. Hakuna yani. Mwanza is so insecure. Pambaneni na hali zenu. Arusha na dar hakuna mtu anaiwaza mwanza wr think its just another town with no influence, nobody cares.
Senior stupid from njombe, KAMWENE wewe.
 
Mnajiongelesha, mkishapigwa ndo mnakuja na vipicha uchwara, vitu vya kawaida sana alafu. Ndio maana mnaonekana washamba, what's special there? 🤣
What's special kwenye maneno yako??. Huna facts Kaa kimya, Arusha ni kama Dodoma tu.
 
Achana nao washamba hao. Sisi Arusha tuliwatangulia mbali sana. Sio level zao. Huwezi ona watu wanajipanga au wanatokea mashenzini kwenda kupiga picha na kushinda hapo, ila mwanza sasa,dah ukitoa rock city mall ambayo pia ni ushuzi tu, hauna amenities za maana, na malaika, ni bora ata bagamoyo
Bara bara ya Rose Arusha unaijua kweli au mnajazana upumbavu tu. Mtaa mchafu kama zizi la ng'ombe.
 
Achana nao washamba hao. Sisi Arusha tuliwatangulia mbali sana. Sio level zao. Huwezi ona watu wanajipanga au wanatokea mashenzini kwenda kupiga picha na kushinda hapo, ila mwanza sasa,dah ukitoa rock city mall ambayo pia ni ushuzi tu, hauna amenities za maana, na malaika, ni bora ata bagamoyo
Achana nao washamba hao. Sisi Arusha tuliwatangulia mbali sana. Sio level zao. Huwezi ona watu wanajipanga au wanatokea mashenzini kwenda kupiga picha na kushinda hapo, ila mwanza sasa,dah ukitoa rock city mall ambayo pia ni ushuzi tu, hauna amenities za maana, na malaika, ni bora ata bagamoyo
Unajitoa ufahamu, kaskazini ndo inaishobokea mwanza. Kwanza mtu atoke let's say Mwanza au Dsm aende Arusha akawekeze Nini kwa mfano?. Mnabebwa na miradi ya asasi za kiserikali, vinginevyo nyie ni Dodoma iliyochangamka. Hakuna kitu hapo punguzeni bangi akili ikae mahala pake
 
Sio maneno yangu [emoji1787][emoji1787]View attachment 2581587
Kila siku nasemaga Tanzania Ina watu incompetent sana, yaani unakuta spaces ziko wazi ila wamekomaa na bei zile zile za miaka yote..

Kushusha bei majengo yakawa yanatumika Kuna tatizo gani? Upuuzi huo uko Nchi nzima ikiwemo Rocky City Mall,Ubungo Terminal,Ndugai Market nk..

Jengo likiwa iddle bila kutumika linachakaa..

Hiyo ndio effects ya kuhamia Dodoma,kuharibu biashara na kufanya miradi bila feasibility studies..
 
Back
Top Bottom