Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Kwani huu uzi unasemaje au kichwa changu kinawaza utelezi muda wote.Kwani tunashindana😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huu uzi unasemaje au kichwa changu kinawaza utelezi muda wote.Kwani tunashindana😂😂
Aaah acha basi masihara bata la hela ndefu ? Bwana mkubwa Dar es Salaam sio yakufananisha na na mkoa wowote tanzania kwa lolote, arusha kuna bata gani mkuu ?Arusha ni mji wa kitalii na fursa zake zinahitaji mtaji mkubwa
Mwanza ni mji wa watu wengi wa hali ya chini unaweza kufanya biashara ndogo ndogo
kwahiyo kama ni bata la hela ndefu hata Dar haiingi kwa Arusha mkuu
Katafuteni battle yenu kati Dar vs Arusha.Aaah acha basi masihara bata la hela ndefu ? Bwana mkubwa Dar es Salaam sio yakufananisha na na mkoa wowote tanzania kwa lolote, arusha kuna bata gani mkuu ?
Yan ukitaja Dar es Salaam inabid uweke kituo then unywe maji alafu useme BAAASI. Alafu kama kuna topic nyingine ya kufananisha mikoa mingine muendelee nayo….Katafuteni battle yenu kati Dar vs Arusha.
Nilitaka kuwarahisishia battle, alafu nyie watu Dar mnafikiri Dar ndio bora kuliko majiji yote duniani, hakuna maajabu hapo kidimbwi city.Yan ukitaja Dar es Salaam inabid uweke kituo then unywe maji alafu useme BAAASI. Alafu kama kuna topic nyingine ya kufananisha mikoa mingine muendelee nayo….
Sio duniani mkuu ila kwa hapa africa mashariki inabidi mkubali tu ofsa wala sio mimi wala wewe uliefanya iwe ivyo mkuu, serikali ya jamhuri ya Tz ndio imefanya hivyo, mama mwenyewe daily yupo dar aisee na ikulu ni domNilitaka kuwarahisishia battle, alafu nyie watu Dar mnafikiri Dar ndio bora kuliko majiji yote duniani, hakuna maajabu hapo kidimbwi city.
Sikupingi kwa Tanzania lakini mpunguze kutuchukulia poa sisi wa mikoani.Sio duniani mkuu ila kwa hapa africa mashariki inabidi mkubali tu ofsa wala sio mimi wala wewe uliefanya iwe ivyo mkuu, serikali ya jamhuri ya Tz ndio imefanya hivyo, mama mwenyewe daily yupo dar aisee na ikulu ni dom
Dar hii hii ambayo mvua kidogo tunaogelea kwenye madimbwi machafuSio duniani mkuu ila kwa hapa africa mashariki inabidi mkubali tu ofsa wala sio mimi wala wewe uliefanya iwe ivyo mkuu, serikali ya jamhuri ya Tz ndio imefanya hivyo, mama mwenyewe daily yupo dar aisee na ikulu ni dom
Watubwengine ndio wanakosea kwan unadhani me napata chaka linalonipa shive ya kutosha huko mbeya ndani ndani siend ? Naenda natemana na dar kabisa ila ukweli lazima usemwe. Mikoan kuna raha yake , njaa ya mikoani huwez fananisha na dar njaa ya dar ni kali sana aisee yan acha kabisa kama hovhi kipindi cha mvua acha kabisa mkuuSikupingi kwa Tanzania lakini mpunguze kutuchukulia poa sisi wa mikoani.
Miundombinu inafeli mkuu mimaji kila sehemu ila dar bado ni noma mkuuDar hii hii ambayo mvua kidogo tunaogelea kwenye madimbwi machafu
Au Nairobi
Ila Mwanza Kila kitu mnakavwa na Arusha & Mbeya 😁😁
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1721250684807348274?t=qFjzYxh49rDaBVh5xdz7bg&s=19
Kila takwimuKila kitu kama vitu gani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Takwimu nyingine nje ya huduma za kijamii na GDP ni upumbavu na upotevu wa akili, kila sekta ya kijamii Arusha amekaa mbele ya Mwanza.
Sio kosa lako huenda ulizaliwa na mtindio wa ubongo 😂😂Umekalia kuleta takwimu za wambeya wenzako.
Sio kosa lako huenda ulizaliwa na mtindio wa ubongo 😂😂
View: https://www.instagram.com/reel/CzbTWq1PM9u/?igshid=MXBxbG92ZXU2MnNnZA==
Huu ndio uhuru mnaoutafuta? Soma Taratibu inahusu MwanzaEndelea kuleta tafiti uchwara madala ya kuleta vitu vya msingi, kila sehemu watu wanazaliwa na changamoto mbalimbali yote ni mapenzi ya Mungu sio kanda ya ziwa tu