Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Arusha ni mji wa kitalii na fursa zake zinahitaji mtaji mkubwa
Mwanza ni mji wa watu wengi wa hali ya chini unaweza kufanya biashara ndogo ndogo
kwahiyo kama ni bata la hela ndefu hata Dar haiingi kwa Arusha mkuu
Aaah acha basi masihara bata la hela ndefu ? Bwana mkubwa Dar es Salaam sio yakufananisha na na mkoa wowote tanzania kwa lolote, arusha kuna bata gani mkuu ?
 
Yan ukitaja Dar es Salaam inabid uweke kituo then unywe maji alafu useme BAAASI. Alafu kama kuna topic nyingine ya kufananisha mikoa mingine muendelee nayo….
Nilitaka kuwarahisishia battle, alafu nyie watu Dar mnafikiri Dar ndio bora kuliko majiji yote duniani, hakuna maajabu hapo kidimbwi city.
 
Nilitaka kuwarahisishia battle, alafu nyie watu Dar mnafikiri Dar ndio bora kuliko majiji yote duniani, hakuna maajabu hapo kidimbwi city.
Sio duniani mkuu ila kwa hapa africa mashariki inabidi mkubali tu ofsa wala sio mimi wala wewe uliefanya iwe ivyo mkuu, serikali ya jamhuri ya Tz ndio imefanya hivyo, mama mwenyewe daily yupo dar aisee na ikulu ni dom
 
Sikupingi kwa Tanzania lakini mpunguze kutuchukulia poa sisi wa mikoani.
 
Dar hii hii ambayo mvua kidogo tunaogelea kwenye madimbwi machafu

Au Nairobi
 
Sikupingi kwa Tanzania lakini mpunguze kutuchukulia poa sisi wa mikoani.
Watubwengine ndio wanakosea kwan unadhani me napata chaka linalonipa shive ya kutosha huko mbeya ndani ndani siend ? Naenda natemana na dar kabisa ila ukweli lazima usemwe. Mikoan kuna raha yake , njaa ya mikoani huwez fananisha na dar njaa ya dar ni kali sana aisee yan acha kabisa kama hovhi kipindi cha mvua acha kabisa mkuu
 
Vitu vya muhimu ni hivi hapa👇👇
Screenshot_20231106-120856_1699262003752.jpg
Screenshot_20231106-120748_1699262045403.jpg
Screenshot_20231106-120631_1699262085775.jpg
 
Takwimu nyingine nje ya huduma za kijamii na GDP ni upumbavu na upotevu wa akili, kila sekta ya kijamii Arusha amekaa mbele ya Mwanza.
 
Back
Top Bottom