Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Wewe utakuwa huijui arusha nimekaa arusha zaidi ya miaka mitatu hapo Washington ndio ilikuwa sehemu yakupata supu na msos nikitoka billys we pimbi.
Hiyo sakina ya white rose nimekaa, barabara mpya pale kibo kama unaenda morombo nimekaa mianzini karubu na soko nimekaa, njiro karibu na uhasibu nimekaa hiyo mitaa yenue afadhali ni njiro
Na Kote huko kuna nyumba za tembe?
 
Nyumba za tembe arusha zimetapakaa kila kona na ukitembea nje kidogo tu ushatoka nje ya mji
Acha uongo wewe. Unapata faida gani kusema uongo? Kote ulikokaa kuna nyumba za tembe? Miaka gani hiyo? Labda miaka ya early 90s. Hata Ngaramtoni na Kisongo hakuna tena nyumba za tembe, let alone ndani ya jiji.
 
Dual carriage ya mbeya?
Sehemu kubwa ya road works zimesimama kupisha mvua isipokuwa sehemu chache ambazo alianza kiangazi kama kule Ifisi.

Kazi anayoendelea nayo Sasa ni kujenga makalvati na ukienda hata Leo utakuta ujenzi wa kalvati unaendelea.

Mwisho muda huu pia unatumiwa na Tanesco na watu wa Maji kuhamisha miundombinu iliyopo ndani ya eneo la Ujenzi.
 
Embu tuendelee kuomboleza msiba wa mzee wetu Mwinyi hili la uwanja wa ndege bado ni kiini macho tu kutoka uwanja wa ndege wa Kimataifa mpaka uwanja wenye hadhi ya Mji wa Mwanza nalo ni pigo wala haina impact kubwa kulinganisha na uwanja wa kimataifa.
 
Acha uongo wewe. Unapata faida gani kusema uongo? Kote ulikokaa kuna nyumba za tembe? Miaka gani hiyo? Labda miaka ya early 90s. Hata Ngaramtoni na Kisongo hakuna tena nyumba za tembe, let alone ndani ya jiji.
Mara ya mwisho kwenda arusha mwaka jana hizo nyumba za tembe bado zipo
 
Acha uongo wewe. Unapata faida gani kusema uongo? Kote ulikokaa kuna nyumba za tembe? Miaka gani hiyo? Labda miaka ya early 90s. Hata Ngaramtoni na Kisongo hakuna tena nyumba za tembe, let alone ndani ya jiji.
2km from Arusha CBD in 2023 when i was there😂😂😂😂😂
IMG-20230704-WA0046.jpg
 
Embu tuendelee kuomboleza msiba wa mzee wetu Mwinyi hili la uwanja wa ndege bado ni kiini macho tu kutoka uwanja wa ndege wa Kimataifa mpaka uwanja wenye hadhi ya Mji wa Mwanza nalo ni pigo wala haina impact kubwa kulinganisha na uwanja wa kimataifa.
Kila siku kuna matamko mengi kuhusu ujenzi lakini utekelezaji hakuna, hii serikali ina agenda gani na huu uwanja na Mwanza kwa ujumla?
 
Back
Top Bottom