Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Iv
Mwanza ni Mkoa wa hovyo sana ,umejaa maskini.

Angalia licha ya kuwa Mkoa una Jiji na Manispaa na Kwa pamoja kuna wakazi zaidi ya Milioni 1 lakini imezidiwa Mapato na Arusha.

Tuliwaambia Mwanza ni Jiji la maskini na Halina fursa wanatoa mapovu.Kiko wapo Sasa 🤪🤪View attachment 2965692View attachment 2965693View attachment 2965698
Duh ww unaongea kwanz natak nijue we n Tajir au kwann unawachukia maskin na serkal yetu ndo imetengez hayo mazngira unadhn nchii watu walipaswa kua maskin?... Bila wiz ujanja kukwepa kulipa kodi na baadh ya nyadhifa ambzo n chache unadhn kua Tajir tz n rahis!! Afu unajisfia vitu vya kipumbavu huo mkoa unasaidiwa na mataifa ya ulaya muungano wa east Africa na serkal ya tz kuufany hapo mlipo afu ishu km ya utalii unajua km unaakil inaleta pesa nying na nyie kwa ujanja mmeibia serenget na kusema n ya kwenu na mapato yote yanaingia kwenu mapato yote ya tapana hamuhesabii kwenu km mkoa! Kampun zote zipo hapo so unatgemea nn vitega uchumi vikubwa kutokn na utalii mahotel yapo hapo unatak ulinganishe na mikoa mingne mikoa mingne kun vivutio Sawa lakn promotion kubwa inafanyik hapo na serkal iliamua ifanye iwe center ila kukompete na Kenya kirahis lakn pia imepakn na mlima mrefu kilimanjaro iwe rahis kuchukua wataliii sas unatamba km nyie wakt mmewezeshw
 
Afu
We kweli chizi ...unavyoandika mwanza cc una maana Gani Kwan ilemela na nyamagana ni halmashauri Moja?
Hii variation ipo kila mwka ndo Maan kun takwimu kila mwaka alafu pia unatak ujue kwa nchi yetu ya tz n tofaut na nchi nyngne hii nchi serkal inapotia nguvu na mkazo mahala fulan na jicho lake mapato yanaptkn Kwan we uliwah kujua dodom itakuja kuizd arush au mwanza au ww Dom kua juu yko we unaon Sawa hujion ww maskin? Au kipind chote mwanz wanaongoz kwa mapato ww ulikua maskin!?
 
Watalii wa wapi hao wa kwenda Mwanza?

Kazi nzuri ya Mama na hapo tunselekea msimu wa Utalii yaani peak season.

Mwanza ni Mkoa maskini sana ,hakuna mzunguko wa hela,kumejaa maskini na Ardhi finyu na imejaa mawe.
Unadhn uwanja ukiwa na hadhi ile hotel ya five ikakamilk si itahitaj wataliii au unadhn utakuj ww kulal pale! Obvious watapromote vivutio vilivo karbu na mwanz na serenget na vingne inshu n promotion en advertisement nzurii serenget ipo karbu San kutokea mwnz na usiombe mwnz ikawa na watalii Ata robo ya mnaopata arusha utajuta kuijua mwanz... Coz zikipatkn hotel za Maan mwnz na pato la watu likiongezek wa watu mtajificha... Hiyo inshu aliwah kuiongelea majaliwa na inawezkn kwa aslmia kubwa
 
Hakuna mtu wa kuja Mwanza wakati Serengeti imejaa Mahoteli ya hadhi.

Labda mui promote hiyo Mwanza kama.bidhaa separate,maana Serikali imeanza upembuzi wa kujenga eco tourism international airport Serengeti
 
Sasa kama wanajenga Uwanja wa Ndege Serengeti huoni kuwa hata huko Arusha na Kilimanjaro pia watalii watapungua! Hakuna unachowaza wewe unawaza Mwanza irudi nyuma kitu ambacho hakitakaa kitokee!
 
Sasa kama wanajenga Uwanja wa Ndege Serengeti huoni kuwa hata huko Arusha na Kilimanjaro pia watalii watapungua! Hakuna unachowaza wewe unawaza Mwanza irudi nyuma kitu ambacho hakitakaa kitokee!
Ngorongo na KIA ziko Mkoa gani? Hawawezi kupungua maana Ngorongo ndio inaongoza hapa Tanzania
 
Ngorongo na KIA ziko Mkoa gani? Hawawezi kupungua maana Ngorongo ndio inaongoza hapa Tanzania
Bro utalii upo miaka yote lakini hakuna tofauti ya maendeleo kati ya Mwanza na huko Arusha! Kwa hiyo maendeleo sio mepesi kama unavyodhania! Ndo maana hata Mbeya gorofa ya kwanza yenye LIFT ilizinduliwa mwaka 2014
1715166103735.png
 
Back
Top Bottom