ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Tunduma Ina vitu vya msingi sio viwanja vya Wazungu kutua na kusepa wanaposomba Dhahabu na kuwaachia mashimo.Mwambie akimaliza kutuma vipicha vyake atuoneshe uwanja wa ndege wa tunduma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunduma Ina vitu vya msingi sio viwanja vya Wazungu kutua na kusepa wanaposomba Dhahabu na kuwaachia mashimo.Mwambie akimaliza kutuma vipicha vyake atuoneshe uwanja wa ndege wa tunduma
Kwa hiyo nyie washamba wa Mwanza,Hutu tubarabara hapa chini tukiisha ndio basi tena au?👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C6GYaIbNwvO/?igsh=MTNxZXA2dnN5ZHVuOA==
New 5 Star Hotel in Arusha-Sanna Boutique Hotel 👇👇
View: https://youtu.be/zmEjX3IKrPk?si=Xqhg0f-KcRbC4d4R
Vitu vidogo sana hivyo hata Ileje vipo😂😂😂Vitu kama hivi wanapita kama wanaaga maiti😀😀😀kimya kimya
Duh ww unaongea kwanz natak nijue we n Tajir au kwann unawachukia maskin na serkal yetu ndo imetengez hayo mazngira unadhn nchii watu walipaswa kua maskin?... Bila wiz ujanja kukwepa kulipa kodi na baadh ya nyadhifa ambzo n chache unadhn kua Tajir tz n rahis!! Afu unajisfia vitu vya kipumbavu huo mkoa unasaidiwa na mataifa ya ulaya muungano wa east Africa na serkal ya tz kuufany hapo mlipo afu ishu km ya utalii unajua km unaakil inaleta pesa nying na nyie kwa ujanja mmeibia serenget na kusema n ya kwenu na mapato yote yanaingia kwenu mapato yote ya tapana hamuhesabii kwenu km mkoa! Kampun zote zipo hapo so unatgemea nn vitega uchumi vikubwa kutokn na utalii mahotel yapo hapo unatak ulinganishe na mikoa mingne mikoa mingne kun vivutio Sawa lakn promotion kubwa inafanyik hapo na serkal iliamua ifanye iwe center ila kukompete na Kenya kirahis lakn pia imepakn na mlima mrefu kilimanjaro iwe rahis kuchukua wataliii sas unatamba km nyie wakt mmewezeshwMwanza ni Mkoa wa hovyo sana ,umejaa maskini.
Angalia licha ya kuwa Mkoa una Jiji na Manispaa na Kwa pamoja kuna wakazi zaidi ya Milioni 1 lakini imezidiwa Mapato na Arusha.
Tuliwaambia Mwanza ni Jiji la maskini na Halina fursa wanatoa mapovu.Kiko wapo Sasa 🤪🤪View attachment 2965692View attachment 2965693View attachment 2965698
Hii variation ipo kila mwka ndo Maan kun takwimu kila mwaka alafu pia unatak ujue kwa nchi yetu ya tz n tofaut na nchi nyngne hii nchi serkal inapotia nguvu na mkazo mahala fulan na jicho lake mapato yanaptkn Kwan we uliwah kujua dodom itakuja kuizd arush au mwanza au ww Dom kua juu yko we unaon Sawa hujion ww maskin? Au kipind chote mwanz wanaongoz kwa mapato ww ulikua maskin!?We kweli chizi ...unavyoandika mwanza cc una maana Gani Kwan ilemela na nyamagana ni halmashauri Moja?
Unadhn uwanja ukiwa na hadhi ile hotel ya five ikakamilk si itahitaj wataliii au unadhn utakuj ww kulal pale! Obvious watapromote vivutio vilivo karbu na mwanz na serenget na vingne inshu n promotion en advertisement nzurii serenget ipo karbu San kutokea mwnz na usiombe mwnz ikawa na watalii Ata robo ya mnaopata arusha utajuta kuijua mwanz... Coz zikipatkn hotel za Maan mwnz na pato la watu likiongezek wa watu mtajificha... Hiyo inshu aliwah kuiongelea majaliwa na inawezkn kwa aslmia kubwaWatalii wa wapi hao wa kwenda Mwanza?
Kazi nzuri ya Mama na hapo tunselekea msimu wa Utalii yaani peak season.
Mwanza ni Mkoa maskini sana ,hakuna mzunguko wa hela,kumejaa maskini na Ardhi finyu na imejaa mawe.
Hakuna mtu wa kuja Mwanza wakati Serengeti imejaa Mahoteli ya hadhi.Unadhn uwanja ukiwa na hadhi ile hotel ya five ikakamilk si itahitaj wataliii au unadhn utakuj ww kulal pale! Obvious watapromote vivutio vilivo karbu na mwanz na serenget na vingne inshu n promotion en advertisement nzurii serenget ipo karbu San kutokea mwnz na usiombe mwnz ikawa na watalii Ata robo ya mnaopata arusha utajuta kuijua mwanz... Coz zikipatkn hotel za Maan mwnz na pato la watu likiongezek wa watu mtajificha... Hiyo inshu aliwah kuiongelea majaliwa na inawezkn kwa aslmia kubwa
Sasa kama wanajenga Uwanja wa Ndege Serengeti huoni kuwa hata huko Arusha na Kilimanjaro pia watalii watapungua! Hakuna unachowaza wewe unawaza Mwanza irudi nyuma kitu ambacho hakitakaa kitokee!Hakuna mtu wa kuja Mwanza wakati Serengeti imejaa Mahoteli ya hadhi.
Labda mui promote hiyo Mwanza kama.bidhaa separate,maana Serikali imeanza upembuzi wa kujenga eco tourism international airport Serengeti
Ngorongo na KIA ziko Mkoa gani? Hawawezi kupungua maana Ngorongo ndio inaongoza hapa TanzaniaSasa kama wanajenga Uwanja wa Ndege Serengeti huoni kuwa hata huko Arusha na Kilimanjaro pia watalii watapungua! Hakuna unachowaza wewe unawaza Mwanza irudi nyuma kitu ambacho hakitakaa kitokee!
Bro utalii upo miaka yote lakini hakuna tofauti ya maendeleo kati ya Mwanza na huko Arusha! Kwa hiyo maendeleo sio mepesi kama unavyodhania! Ndo maana hata Mbeya gorofa ya kwanza yenye LIFT ilizinduliwa mwaka 2014Ngorongo na KIA ziko Mkoa gani? Hawawezi kupungua maana Ngorongo ndio inaongoza hapa Tanzania
Achana na Mbeya huwezi wewe nyumbu wa Mwanza is SlumBro utalii upo miaka yote lakini hakuna tofauti ya maendeleo kati ya Mwanza na huko Arusha! Kwa hiyo maendeleo sio mepesi kama unavyodhania! Ndo maana hata Mbeya gorofa ya kwanza yenye LIFT ilizinduliwa mwaka 2014View attachment 2984556