Battle ya Sativa vs ZCO Faustine Mafwele bado mbichi

Na sio lazima uwe written what will you basically do aisee
 
Naona kama dogo ana wenge hivi,mpaka picha anapost hovyo,kinachofata ni jamaa kuja hadaharani kushitaki anadhalilishwa bila ushahidi wa msingi.sijui ana hela za kumlipa au atachangiwa tena!!!!

Kama kuna wanasheria karibu yake wamshauri kitu.
Umeshawahi kuiba halafu ukahisi watu wanajua wewe ni mwizi??

Hizo nguvu anatoa wapi?? Acha kabisa sio rahisi kama unavyodhani
 
mi nilidhani amekimbia nchi, nawashauri watu wanaopost ukweli kama huo wakimbie nchi wakapostine nje ya nchi. sio salama sana kwao.
 
Kwa jinsi ulivyoandika unaonekana bado mtoto tu hakuna kitu.Mtu mzima hawezi kuomba msaada wa mwingine kupata ukombozi katika jambo lolote.Wewe tu ni bwana mdogo umejitahidi sana utakuwa umemaliza chuo unasubiri tu kuajiriwa basi.

Wote walio mstari wa mbele kupigania haki na usawa nawajua na kuhusu kujibu hoja yako(hakuna hoja ambayo ilihitaji majibu)

Siku nyingine acha utoto(hizi habari za sijui nakujua sikujui sioni kazi yake hapa.Jambo lilikuwa jepesi unahitajika kuonekana mstari wa mbele kwenye huo ukombozi unaotaka vijana walete na sio kuleta kelele hapa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…