Battle ya Sativa vs ZCO Faustine Mafwele bado mbichi

Battle ya Sativa vs ZCO Faustine Mafwele bado mbichi

Hivi vitoto vinakuja humu havijui
Watu kwanza wamepambanaje hii JF isifungwe

Yaani takataka sana aisee na nlkua namwelekeza taratibu sana

Hii nchi vijana wanawaza kugongana simba yanga kufungua kiduka cha dawa au nguo
Kuwa winga kariakoo
Nchi ina vijana wengi wapumbavu sana
Kugongana sawa mpira sawa naupenda sana
What are you doing for your country as a part of history what will you do basically to be written
Na sio lazima uwe written what will you basically do aisee
 
Naona kama dogo ana wenge hivi,mpaka picha anapost hovyo,kinachofata ni jamaa kuja hadaharani kushitaki anadhalilishwa bila ushahidi wa msingi.sijui ana hela za kumlipa au atachangiwa tena!!!!

Kama kuna wanasheria karibu yake wamshauri kitu.
Umeshawahi kuiba halafu ukahisi watu wanajua wewe ni mwizi??

Hizo nguvu anatoa wapi?? Acha kabisa sio rahisi kama unavyodhani
 
mimi sio mchawi ila wiki haipiti sativa atakamatwa na kama mzaha jela ataenda,anachotakiwa kufanya mpaka sasa ni kukazana kupost tu picha,ashinikize zaidi watu kumchimba mkwara binti na wanafamilia wengine.

Tena mlalamikaji hatakuwa mafwele mwenyewe.
mi nilidhani amekimbia nchi, nawashauri watu wanaopost ukweli kama huo wakimbie nchi wakapostine nje ya nchi. sio salama sana kwao.
 
We mzee unanijua.?

Au unaona jina baba swalehe unaona aaah hawa watu tuko sawa tu humu

Pseudonames za humu zinakudanganya sana sio

So far hujajibu hoja yangu

Nliyofanya kwa ajili ya hii nchi wewe na kizazi chako na cha babu yako. Mzaa babu yako wajukuu zako na watoto wa wajukuu zako hawatokuja kufanya

Ukiona sehemu pameandika alphasat put a name and respect to baba swalehe
Kwa jinsi ulivyoandika unaonekana bado mtoto tu hakuna kitu.Mtu mzima hawezi kuomba msaada wa mwingine kupata ukombozi katika jambo lolote.Wewe tu ni bwana mdogo umejitahidi sana utakuwa umemaliza chuo unasubiri tu kuajiriwa basi.

Wote walio mstari wa mbele kupigania haki na usawa nawajua na kuhusu kujibu hoja yako(hakuna hoja ambayo ilihitaji majibu)

Siku nyingine acha utoto(hizi habari za sijui nakujua sikujui sioni kazi yake hapa.Jambo lilikuwa jepesi unahitajika kuonekana mstari wa mbele kwenye huo ukombozi unaotaka vijana walete na sio kuleta kelele hapa)
 
Back
Top Bottom