Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Na sio lazima uwe written what will you basically do aiseeHivi vitoto vinakuja humu havijui
Watu kwanza wamepambanaje hii JF isifungwe
Yaani takataka sana aisee na nlkua namwelekeza taratibu sana
Hii nchi vijana wanawaza kugongana simba yanga kufungua kiduka cha dawa au nguo
Kuwa winga kariakoo
Nchi ina vijana wengi wapumbavu sana
Kugongana sawa mpira sawa naupenda sana
What are you doing for your country as a part of history what will you do basically to be written