Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Mungu ametenda kwa jamaa. Angeshaliwa na fisi muda mrefu pale Katavi National ParkKapona kwa bahati kubwa kama Donald Trump.
Execution / kumaliza uhai kwa hii staili ya kupiga watu kisogoni risasi nia ni kuua lakini Mungu mkubwa
Waliopachikwa jina wasiojulikana lakini wanaofahamika na Polisi ndiyo hawa.
Sawa lakini Dunia imeshajua. Kufa tutakufa tu, hata we unaweza kufa ukiwa unakula tunda kimasihara.Jamaa anataka kupambana na hao wauaji ila kifupiii hataweza na ubaya anazidi kujitahatarisha na uhai wake wanaweza kumrudia tena
Aisee 😯Huyu Mafwele hajaanza leo unyama wake. Angalia kwenye thread hii namna raia walivyofurahi alivyohamishwa Arusha miaka hiyo ya 2016
Askari Arusha wafurahia kuondoka kwa RPC Sabas na OC-CID Mafwele
Wakuu kuna taarifa zinasambaa mjini Arusha na viunga vyake kwamba baadhi ya askari wa jeshi la polisi mkoani Arusha wanashangilia kila kona kuondoka kwa RPC SABAS na OC-CID MAFWELE hapa mjini, wengi wanasema kwamba kuondoka kwa watu hao ni furaha kwao kwa kuwa baadhi yao walikuwa wakikamata...www.jamiiforums.com
Hawawezi, mchawi Mpe mtoto akulele.Jamaa anataka kupambana na hao wauaji ila kifupiii hataweza na ubaya anazidi kujitahatarisha na uhai wake wanaweza kumrudia tena
naona mtoto wake kawekwa kwenye Samia scholarship baada ya kazi nzuri za kutukuka za baba yake. halafu mtu anatetea eti Samia sio sehemu ya mauaji na utekaji. kalaghabaho wawadanganye uvccmMafeleeee mafyeleeeee watoto wake wanasomea Kodi zetu pumbavuuuuu
Robot Leo limejibu...Jamaa hajajua bado adui yake ni nani
Swai asee mtu wangu wa nguvuMungu ametenda kwa jamaa. Anashtakiwa na fisi muda mrefu pale Katavi National Park
wakkuwa alishauawa mara yabkwanza, ahaigopi kuuliwa mara ya pili, kikubwa huyo jamaa aumbukeDah nimpe pole huyu jamaa kwa nyakati ngumu alizopitia sio jambo jepesi.
Sema hapa naona kuna kitu hakipo sawa kwake.Sijui kiasi gani amejipanga kumkabili huyu mtu lakini kwa hesabu nyepesi unaona battle anaweza shindwa tena
Angeweza angemwachia Mungu au kama anataka kuchukua njia za asili hakuwa na sababu ya kuparade hizi taarifa kizembe(labda ni kutoa ufahamu kwa wengine hili wajichunge kama ndio lengo basi sio vibaya lakini kama ni lengo la kupata huruma ya watz niseme hapa uongo kwani watanzania unafiki ni mwingi)
Mchumia janga hula na wa kwao.... Atapelekewa moto yeye na watoto wake sasaMafeleeee mafyeleeeee watoto wake wanasomea Kodi zetu pumbavuuuuu
Anaweza asiguswe anakodhani,watu wakatumia sheria.tamaa ataiunga vyema kabisa na umakini utamkaa sawa.Kwa alichokipitia sativa kwa sasa Hana uoga wowote sisi tunaosoma maandiko yake tunatamani kumwambia "sativa nyamaza kama ni mipango Yako panga kimya kimya"
Ogopa sana binadamu akijikatia tamaa! Ugopa sana binadamu akikijua kwamba wewe ndo ulipanga kumtoa uhai, Hilo battle lake sio poa.
Nb; kwani mafwele ni mtu wa wapi?? Kabira Gani?
Kwa alichokipitia sativa kwa sasa Hana uoga wowote sisi tunaosoma maandiko yake tunatamani kumwambia "sativa nyamaza kama ni mipango Yako panga kimya kimya"
Ogopa sana binadamu akijikatia tamaa! Ugopa sana binadamu akikijua kwamba wewe ndo ulipanga kumtoa uhai, Hilo battle lake sio poa.
Nb; kwani mafwele ni mtu wa wapi?? Kabira Gani?
Hatari
Hivi unafahamu waliomtuma huyo Mafwele au unaongea tu?Tungekuwa na serikali zenye kufuata haki ,huyo askari anayetuhumiwa na sativa angekuwa ameanza kuchunguzwa pamoja na mlalamikaji lakini Kwa kuwa watawala wetu Huwa wanajiona maumivu ya wananchi hayawahusu wanaamua kukaa kimya.kukaa tz ni hatari sana.
Nlijua tu nikawahi screenshot kwanza 😹Hatari