Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 878
- 1,511
Mafwele hawezi kuthubutu hata kidogo kumshitaki sativa, hawezi. Nje ya mada - mbona kama hiyo sura ya mafwele na umbo lake anaendana na yule jamaa aliemtoleaga Nape mashine kipindi kile Cha jiwe???Anaweza asiguswe anakodhani,watu wakatumia sheria.tamaa ataiunga vyema kabisa na umakini utamkaa sawa.