Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 878
- 1,511
Mafwele hawezi kuthubutu hata kidogo kumshitaki sativa, hawezi. Nje ya mada - mbona kama hiyo sura ya mafwele na umbo lake anaendana na yule jamaa aliemtoleaga Nape mashine kipindi kile Cha jiwe???Anaweza asiguswe anakodhani,watu wakatumia sheria.tamaa ataiunga vyema kabisa na umakini utamkaa sawa.
Tuliwahi tukausoma na tukajua utaflutwa Tu.Hatari
Uzi ulifutwa!!! Mafwele kaingia chooo cha kike
Hapana dogo anatakiwa akazane kumpost soon utasikia kafatwa kukamatwa kwa matumizi ya mabaya ya mtandao.Mafwele hawezi kuthubutu hata kidogo kumshitaki sativa, hawezi. Nje ya mada - mbona kama hiyo sura ya mafwele na umbo lake anaendana na yule jamaa aliemtoleaga Nape mashine kipindi kile Cha jiwe???
Kwa na baba mpumbavu ni mzigo kwa familia.Tusiwadhuru watoto wake kwa kuwa hawana hatia na hawakupanga kuzaliwa ma huyu HAYAWANI
Hii ndo jf nayoifahamuMafeleeee mafyeleeeee watoto wake wanasomea Kodi zetu pumbavuuuuu
Mods wanatukosesha uhondo.....Uzi ulifutwa!!! Mafwele kaingia chooo cha kike
Yani umekaa na kutulia kabisa ukaandika ulichoandika au kaandika mwanao?Asiyefundwa na mame hufundwa na ulimwengu ndivyo impasayo sativa17, anayoyataka atayapata.
Maneno mingi kazi kidogo
Atapata anachotaka aendelee na kelele zake hao wanaompa kichwa ni vibwengo tu hamna kitu.
Wadiz
Mwambie Faustine Mafwele aende kesho Mahakamani akadai kuchafuliwa, I bet hawezi kufanya hivyo hata ukimshikia bastola. Mafwele is behind these insane kidnappings and killingsNaona kama dogo ana wenge hivi,mpaka picha anapost hovyo,kinachofata ni jamaa kuja hadaharani kushitaki anadhalilishwa bila ushahidi wa msingi.sijui ana hela za kumlipa au atachangiwa tena!!!!
Kama kuna wanasheria karibu yake wamshauri kitu.
Tumechoka kutishwaAsiyefundwa na mame hufundwa na ulimwengu ndivyo impasayo sativa17, anayoyataka atayapata.
Maneno mingi kazi kidogo
Atapata anachotaka aendelee na kelele zake hao wanaompa kichwa ni vibwengo tu hamna kitu.
Wadiz
Matisho ya kipuuzi. Yaani akae kimya kwamba mlicho mfanyia ni sawa? Kama ni kufa, alisha kufa. Msilete ujinga wenu hapa.Asiyefundwa na mame hufundwa na ulimwengu ndivyo impasayo sativa17, anayoyataka atayapata.
Maneno mingi kazi kidogo
Atapata anachotaka aendelee na kelele zake hao wanaompa kichwa ni vibwengo tu hamna kitu.
Wadiz