Battle ya Sativa vs ZCO Faustine Mafwele bado mbichi

Battle ya Sativa vs ZCO Faustine Mafwele bado mbichi

Asiyefundwa na mame hufundwa na ulimwengu ndivyo impasayo sativa17, anayoyataka atayapata.

Maneno mingi kazi kidogo

Atapata anachotaka aendelee na kelele zake hao wanaompa kichwa ni vibwengo tu hamna kitu.

Wadiz
Mafwele oyeeeee 😂😂😂😂
 
Wewe ni mbumbumbu wa mambo ya sheria. Kaa kwa utulivu. Kwenye criminal cases ni DPP ndiye hupeleka mashtaka Mahakamani, siyo raia kama ilivyo kwenye civil cases
Acha uongo mbona kuna Wakili mmoja juzi kafungua kesi ya jinai ya yule "Afande" kule Dodoma? Acha upotoshaji kama hujui uliza ufundishwe!!
 
Jamani hv yule muovu shetani mwenye mapembe na huyu Mafwele ni mtu mmoja au watu wawili tofauti? Au mi ndo nachanganya!
 
Asiyefundwa na mame hufundwa na ulimwengu ndivyo impasayo sativa17, anayoyataka atayapata.

Maneno mingi kazi kidogo

Atapata anachotaka aendelee na kelele zake hao wanaompa kichwa ni vibwengo tu hamna kitu.

Wadiz
He has nothing to fear but fear it self!
He is dead already ..he is not scared of death any more…
He was tortured and humiliated…..
Let him be…..
 
Dah nimpe pole huyu jamaa kwa nyakati ngumu alizopitia sio jambo jepesi.

Sema hapa naona kuna kitu hakipo sawa kwake.Sijui kiasi gani amejipanga kumkabili huyu mtu lakini kwa hesabu nyepesi unaona battle anaweza shindwa tena

Angeweza angemwachia Mungu au kama anataka kuchukua njia za asili hakuwa na sababu ya kuparade hizi taarifa kizembe(labda ni kutoa ufahamu kwa wengine hili wajichunge kama ndio lengo basi sio vibaya lakini kama ni lengo la kupata huruma ya watz niseme hapa uongo kwani watanzania unafiki ni mwingi)
Hayupo nchini huyo, kashavuka boda.
 
Back
Top Bottom