Battle ya Sativa vs ZCO Faustine Mafwele bado mbichi

Battle ya Sativa vs ZCO Faustine Mafwele bado mbichi

Dah nimpe pole huyu jamaa kwa nyakati ngumu alizopitia sio jambo jepesi.

Sema hapa naona kuna kitu hakipo sawa kwake.Sijui kiasi gani amejipanga kumkabili huyu mtu lakini kwa hesabu nyepesi unaona battle anaweza shindwa tena

Angeweza angemwachia Mungu au kama anataka kuchukua njia za asili hakuwa na sababu ya kuparade hizi taarifa kizembe(labda ni kutoa ufahamu kwa wengine hili wajichunge kama ndio lengo basi sio vibaya lakini kama ni lengo la kupata huruma ya watz niseme hapa uongo kwani watanzania unafiki ni mwingi)
Of coz na saiv Naona kam uchawi umekwisha, au waganga hawapo tena ingekuwa miaka flani wakat hizi Facebook na WhatsApp hazipo wazee wapo wengi..... Hili grupu La watekaji lingepukutika kwa kulogwa tu
 
Mara nyingi nikiangalia picha ya huyu mtu, kwa jicho la tatu, huyu ameanza kutafunwa na nafsi yake. Damu alizomwaga ni nyingi sana. Hana raha ya kipato anachopata, watoto wake wanalipiwa kwa fedha ya damu za watu masomo yao hayana baraka ya Mungu. Mkewe akivaa akadhani kapendeza ni mavazi ya damu za watu.
Muuaji wa kwanza tangu ulimwengu kuumbwa alikuwa Kaini.
Baada ya Kaini kumuua Abel, Kaini alichimba shimo akamfukia, damu ya Abel ikamlilia Mungu, Mungu akasikia kilio cha Abel. Mungu akamuita Kaini, naye akaitika Mungu akamuuliza yu wapi Abel ndugu yako? Kaini akamjibu ovyo sana Mungu eti kwani mimi ni mlinzi wake?

Majibu ya ovyo ya Kaini kwa Mungu ni dailies ya kufadhaika kwa nafsi ya Kaini. Ndivyo wauaji wanavyofadhaika. Mwisho wataanza kuelezea kwa watu kuhusu maovu waliyotenda na kamwe haitasaidia.
Picha yake ipo wapi?
 
IMG_1224.jpeg
Hapa anamaanisha nini huyu jamaa?
 
Tusiwadhuru watoto wake kwa kuwa hawana hatia na hawakupanga kuzaliwa ma huyu HAYAWANI
Ila matunda ya damu , mateso na maumivu ya WaTz waendelee kula tu si ndio? Wakatae kusomeshwa kwa pesa za damu, maumivu na mateso makali dhidi ya binadamu, otherwise hao watoto wana hatia sawa sawa na baba yao, lolote liwapate..
 
Nitaweka mfulizo wa posts za Sativa kutoka kwenye ukurasa wake wa Twitter akimshutumu ZCO Faustine Mafwele kuwa ndiye kinara wa utekaji na uuaji unaotekelezwa na taasisi za Serikali dhidi ya wakosoaji/ wanaharakati wa siasa.

1. Namna alivyomtambua ZCO MAFWELE

Siku ya kwanza nimeongea story yangu public niliongea kwenye Club house. Ilikuwa 7/8 saa mbili kamili usiku.

Kwenye story yangu kuna mahali nilimtaja mtu mwenye sifa hizi hapo awali sikumjua kabisa kwa majina.

Sifa nilizozitaja;

1. Mrefu
2. Mweusi
3. Mwili wa ukakamavu (kama mtu wa mazoezi)
4. Ni kama mtu wa kanda ya Ziwa kimuonekano wake (watu wa Mwanza, geita, ukerewe).
5. Alivaa jezi ya simba (ya msimu uliopita nyekundu)
6. Alivaa bukta ya kaki.
7. Mkononi alikuwa na simu nyingi kama sio 2 basi 3.

Siku 20 baadae nikaja kuona picha za huyu jamaa hapo pichani alifahamika kwa jina la MAFWELE. Siku nimeiona hii picha nilitetemeka sanaa.

Niliogopa sana nikakumbuka mateso makali niliyopitishwa, nikarudia kuangalia hii picha nikakumbuka ni yeye aliekuja kituo cha polisi usiku ule OSTABAY.

Hapo hapo nikawatumia watu wangu wa karibu kuwa huyu mtu ndie alikuja usiku ule Obay na kutoa amri niwekwe pembeni aongee na wale mapolisi waliokuja kunikamata KOROGWE.

Hili jamaa ndio lilitaka nife, Huyu ndio anahisi yeye atafika 2099 hapa duniani.

Kama kweli jina lako ndio MAFWELE NKUAHIDI tutakuwa na safari ndefu mimi na wewe.🤝

Pia soma
Labda nafikiria vibaya, mtanikosoa. Lakini, sijui kwanini naona tweet za Sativa zinadogosha tukio lile baya alilofanyiwa. Yaani naliona ni kubwa kuliko anavyolitweet.

Pengine haya anayoyasema kwenye X kuhusu unyama huo aliofanyiwa yangeweza kupata jukwaa kubwa la kuweza kuchukua umakini wa kila mtu na kusaidia harakati.

Nawaza, yeye alishatweet sana kwa kukosoa na kulaumu mfumo, labda hata hizi tweet zinaweza zisiwe hoja mpya kwa aina ya tweet zake za kila siku, licha ya hizi kuwa nzito sana.

Mtu amwambie kuwa anahitaji hata mahojiano na DW, BBC , Al Jazeera au CNN na kuyaeleza haya kwenye jukwaa kubwa zaidi kuliko kutweet tu kama ambavyo huwa akitweet kabla ya tukio hilo.

Ova
 
Nchi ichukue Hatua
Mtu dizaini ya SATIVA hana cha kupoteza tena mwili ushakufa ganzi, Serikali ifanye jambo kuguswa na uchungu alionao. Hapo alipo anaweza jivika bomu afe na kijiji hana cha kupoteza amekosa mtu/taasisi ya kutia kiberiti awake.

Lets take care of it. SATIVA ana maumivu sana hashindwi kuvaa bomu akailipua Osterbay na askari wake wote wakaaangamia! Tumtafutie tiba ya wanasaikolojia haraka.
 
Uzalendo is very wide stuffs. Uzalendo una pande mbili na yeye japo kakubali kutumikia Mamlaka kwa upande Wananchi wasioupenda ila ni kitu ambacho ni kawaida. Hata yeye akiondoka Mamlaka wana resources ya watu kama hao wa kutosha. Kumlaumu mtu mmoja ambaye ni mdogo na yuko tayari kupoteza maisha yake kwa ajili ya nchi yake ni kumuonea. On my limited knowledge opinion this guy is perfect and he execute what is needed for greater benefits like a country like Tanzania. Wakati nyie mnaona mtu wa kuua watu yeye anajiona ni mtu wa kuukoa nchi hii. Watu kama hawa tunawahitaji and i really appreciate his work. Sativa ni Fala flani hiivi ambae anaona social media itamuokoa.
 
Back
Top Bottom