nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Mkuu hata yale yanatokana na kikao hakutoka tu km nakusema yale, ccm jifunzeni kuheshimu sheria na kanuni.Mtafaruku uliopo na stake ya uhai wa CDM ni kuwa lazima top executive alitolee kauli yake, not through KM or any other delegate!
Tafuta mahali pazuuri penye upepo mzuri mwanana, uagize na PEPs ya bariidi ili hasira zipungue kidogo mkuu, bili tuma kwanguKama CCM msivyoisha vituko kupelekeshwa na mtu mmoja Jiwe mpaka mnamuita Yesu
una hoja ya msingi, Time will tell
Amezolewa na upepo wa kisulisuli!
Mbona hii 30% tu, ccm kuna wajumbe wa kamati kuu na ni wabunge.mtakuwa vichaa kama key decision makers wa chama mtawaweka nje ya chombo kikuu cha nchi cha kutunga sheria Chadema please raise up your game come on!!!!!Hawa ni baadhi viongozi wa BAWACHA waliojiteua kuwa wabunge wa viti maalumu unategemea waseme nini.
1. Halima Mdee - M’kiti BAWACHA Taifa, Mbunge vm
2. Hawa Mwaifunga - Makamu M’kiti BAWACHA, Mbunge vm
3. Grace Tendega - Katibu BAWACHA, Mbunge vm
4. Jesca Kishoa - Naibu Katibu Mkuu BAWACHA, Mbunge vm
5. Asia Mohamed - Naibu Katibu BAWACHA, Mbunge vm
6. Agnester Kaiza - Mwenezi BAWACHA Taifa, Mbunge vm
Bawacha hawatokwenda kwenye kikao cha ijumaaYaani BAVICHA wanakaa na wanataka kutoa 'msimamo wao' kabla ya kikao kilichoitishwa na KM tare 27 Nov 2020?
Hili saga usishangae BAWACHA nao wakakaa kikao na kutoa 'msimamo wao'. Troubled times!
Hii ni possible ila aliyewatuma atawasihi waende tu. Kinachofanyika sasa ni kujaribu kukisitiri chama na kupunguza magnitude ya aibu.Bawacha hawatokwenda kwenye kikao cha ijumaa
Chadema kila mtu ni kambale ana sharubu by Duni Haji aliohama ChademaKwanini wasisubiri kwanza kikao cha kamati kuu?
Itasaidia kuleta muafaka?
kama Mdee, Matiko na Bulaya huwezi kuwaamini sembuse wewe nani?Wafutiwe uanachama na huyo mwajiri wao Ndugai apewe barua
Yatakuwa maigizo tuWafutiwe uanachama na huyo mwajiri wao Ndugai apewe barua
Mdee anazo Mpaka documents za kikao ambacho Walikaa na kukubali majina yaende Tena walibishana Mpaka ikafikia atua ya kupiga kuraHii ni possible ila aliyewatuma atawasihi waende tu. Kinachofanyika sasa ni kujaribu kukisitiri chama na kupunguza magnitude ya aibu.
Mnyika anapaswa kuwa makini sana na kauli zake maana wale watu hawakawii kumuacha aaibike peke yake.
Kamati tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) usiku wa kuamkia leo imefanya kikao chake cha dharura kilichoongozwa na Mkiti wake John Pambalu.
Leo saa 5 asubuhi kinatarajia kuongea na waandishi wa habari kutoa msimamo wake juu ya kinachoendelea kuhusu wabunge wa Viti Maalumu.
“BAVICHA tumemaliza kikao cha Kamati ya utendaji taifa sasa saa 10:30 usiku. Msimamo wetu tutautangaza kesho saa 11:00 Asubuhi mbele za waandishi wa habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama Kinondoni”. - JPambalu.
BAWACHA iko wapi?
Hi Kali aiseeYaani BAVICHA wanakaa na wanataka kutoa 'msimamo wao' kabla ya kikao kilichoitishwa na KM tare 27 Nov 2020?
Hili saga usishangae BAWACHA nao wakakaa kikao na kutoa 'msimamo wao'. Troubled times!
Kabisa aiseeCDM hawaishi vituko, ila hii yote inaonyesha kuna ombwe kubwa la uongozi kutoka juu ndio maana kila kiongozi wa ngazi yoyote CDM anajaribu kuropoka.