BAVICHA wafumbia macho wizi wa billioni 7 ndani ya CHADEMA

Acha hoja dhaifu kwa point za msingi





Hizo bil 7 zilizopotea chadema bas jua ccm ni zaid




Apa tuanze na za nchi za chadema tutarudi
Usafi wa chadema uko wapi Hadi wahoji wizi wa wengine wakati na wao ni wezi wa billion 7
 
Ndio maana kawauliza Bavicha sababu wao wapo ndani ya chama.
 
TUNATAKA KUJUA 1.5 TRILLION MMEZIFANYIA NINI?
 
Ondoa boriti kwenye jicho lako kwanza.
 
Ila mpaka leo nashangaa sana hivi huyu aliyechukua 1.5 t amefanyia nin mana kwanza ni mshamba so hata kula bata hajui sasa sijui kapeleka wapi
 
Chadema nao waitishe waandishi wa habari waseme fedha zilipo?!!
 
Kama unachoongea ni chakweli weka picha ya helkopta hewa tuione ili tuweze kukuamini.
 
Ni mwehu tu anaweza kuacha kuulizia trilion 1.5 yake akaenda kuulizia bilion 7 za watu.
Ndo maana mimi sijasumbuka kuulizia b 12 za cxm kwa sababu najua hazinihusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…