BAVICHA wafumbia macho wizi wa billioni 7 ndani ya CHADEMA

Ila majizi ya nchi kiama chao bado hakijafika. Yaani CHADEMA wamekula hela ya ruzuku wala sio shida sana ila nyinyi mliokula hela za kununulia dawa na kufanya maendeleo ya nchi inabidi mtafutie msalaba wa kusulubiwa.
Hawa Lumumba wasilete longolongo ... Chadema siyo taasisi ya serikali. Wamepata mgao wao, ushauri yao watakavyozitumia. Sheria za manunuzi ya serikali haiwahusu Chadema. Wao watajuana na wanachama wao. Same to CCM .

Tunachohoji ni 1.5 .... wasitutoe kwenye mstari .!!
 

Mkubwa haulizi, wanao uliza ni sisi wananchi
 
1.5 TRILLION ZIKO WAPI?
 
Huyu mleta mada katoroka toka Mirembe Hospital hata hajui alichoandika. Hakuna haja ya kujibizana naye ni 'Mental Case'.
 
Naona unataka kuzubaisha 1.5 t ili mgaiwe buku zenu 7!!!
 
7/1500=0.0047
0.0047 convert into%= 0%

Tuanze na wakutembea vifua mbele...wapinga ufisadi. 1.5T zko wapi
Kwa hiyo hizo billioni saba ni msosi halal kwa Mbowe? Ha ha ha, nyie makarai akili zenu sijui zikoje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…