BAVICHA wafumbia macho wizi wa billioni 7 ndani ya CHADEMA

chadema bil.7, ccm bil.12, ccm kuu Tril.1.5................... sasa unaanzaje kumkimbiza mwizi wa jero huku ukimuacha aliekuibia laki5???? hapa ndio utajua vijana wa lumumba ni ma taa=hira
 
Afadhali bilioni 7 kuliko bilioni 1500.
 
Wataongea vipi wakati midomo yao imefungwa na mwenyekiti , nyumbu ni nyumbu tu

#DG
 
Kitendo cha chadema kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame(orodha ya aibu ya mafisadi papa ) ya chadema kiliumiza wengi na kuonyesha wazi kuwa chama kuongozwa na aliyepata zero form six ni hasara tupu.
 
Trilioni 1.5 kwanza hayo mengine ni Sarakasi tu
 

Bavicha wamekuwa Takukuru au Polisi siku hizi? Hakika mazwazwa wa Lumumba mumechanganyikiwa vibaya na vile mawakala wenu wameshtukiwa ndani ya Chadema mnaweweseka kama mnataka kutaga mayai vile, na bado tuna wanyoosha kimtindo na hamtaamini kitakachotokea kabla ya 2020.
 
Acha uzushi wako chadema hakuna wizi kama ni wizi upo CCM mmegawana Trilion 1.5 kimya kimya hata kinana alipiga bilion 3 akasepa kimya kimya na sasa upo ufisadi mkubwa kula pesa za ruzuku ya CCM kisaniii kwa kisingizio cha kuzitumia kuwanunua madiwani, wabunge na kudhoofisha chadema, wezi unao huko huko CCM mnapiga pesa za umma kwa njia haramu mmekula 10% ununuzi wa ndege, ujenzi wa Chato Airport, ujenzi wa reli na madili kibao huko CCM ndipo makao makuu ya wezi
 

CCM wanapiga pesa za walipa kodi kwa kutengeneza chaguzi za marudio makusudi ili wachukue pesa Hazina kienyeji ni aina ya wizi mpya
 
CCM mmechukua hatua gani hapa kwa huu ufisadi??View attachment 748702

Zipo trilion 1.5 zipo 10% ununuzi wa ndege, zipo chenji za rada, chenji bunge la katiba, kuna zile bilion 251 zilipigwa wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa, kivuko feki, mabehewa chakavu, 10% ujenzi wa chato Airport, ujenzi wa bomba la mafuta na reli na kurudia chaguzi hovyo hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…