Pre GE2025 BAVICHA walipuka kwa shangwe Lissu akiingia Ukumbini. Kwa shangwe hili, Freeman Mbowe atatoboa kweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ninashauri watumie style ya zamani ya Kenya, wapigakura wanajipanga nyuma ya mgombea
 
Ila hata Lowassa aliimbiwa mpaka wimbo na bado wakamkata😃

Your browser is not able to display this video.
 
Nyumbu hizi ndio zao, kulipuka kwa shangwe kumshangilia Lissu, ila siku ya siku, Lissu atashangaa na hata amini!.
P
Ni kweli, siasa zinaweza kuwa na sura mbili; shangwe za leo si lazima ziakisi matokeo ya mwisho. Mwisho wa siku, uamuzi upo mikononi mwa wapiga kura, na lolote linaweza kutokea.
 
Unafiki wa Siasa unapaswa utambue kuwa sio kila shangwe ni ya kushangilia. Nyingine ni ya kuzomea pia.

Lissu anakubalika mno lakini sio kushinda pesa. Mbowe kapoteza umaarufu lakini ana pesa ya kuhonga na hiyo ndio itamfanya ashinde.
 
Wajumbe ndio walivo kama malaya malaya ngoja siku wakutane na Mbowe utagundua Wajumbe ndio kipindi Chao cha kupiga pesa!!!
 
Mkono wa Lisu usiwe mfupi tu Wajumbe watakatifu walizikwa toka mwaka 2000 awa wa 2025 wanashangilia pesa sio kukuona ww kama Lisu!!
 
Sema nini, hawa watu kazi yao ngumu sana Yarabi, Juzi nimemuona Heche anashuka kwa gari, tuliangaliana macho kwa macho, Anaonekana amechoka sana (Exhausted) Simaanishi amechakaa .

Mwenyezi Mungu awatunze.
 
Shangwe hazipigi kura.
 
Mkono wa Lisu usiwe mfupi tu Wajumbe watakatifu walizikwa toka mwaka 2000 awa wa 2025 wanashangilia pesa sio kukuona ww kama Lisu!!
Ni kweli, hali ya siasa za sasa inaonyesha jinsi ambavyo rushwa imeathiri mchakato wa uchaguzi. Kama wajumbe wanashangilia pesa badala ya maono au sera za mgombea, basi kuna changamoto kubwa ya kiadilifu inayopaswa kushughulikiwa. Mkono wa Lissu unapaswa kuwa mrefu sio kwa pesa, bali kwa kuleta uadilifu na mabadiliko halisi ndani ya chama na taifa kwa ujumla.
 
1.Bawacha ni wangapi katika wapiga kura.
2.tuwekee na mbowe akiwa anaingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…