Pre GE2025 BAVICHA walipuka kwa shangwe Lissu akiingia Ukumbini. Kwa shangwe hili, Freeman Mbowe atatoboa kweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi kwanini Lissu asiwe mwenye kiti angalau hata Kwa miaka 5 hili tuone uelekeo WA chama utakuwaje likiwa chini yake?
 
Niliota lisu na majaliwa wanagombea uraisi kukawa na vurugu kubwa hawa watanzania wanaoitwa makondoo walikuwa barabarani
 
Pesa zitaliwa na kura hatumpi huyo dalali wa ccm.
Acha pesa za Abdul zitufikie na sisi tuzitafune coz ni kodi yetu hiyo
Tunatamani iwe hivyo! Ni Kiu yetu wengi. Unfortunately sisi wengine sio wajumbe, Kazi yetu ni kuhamasisha.
 
Duuuh kwa hio ume-bet kwamba kilichokukuta ndicho kitakachomkuta?
 
Nakumbuka hata Lowasa aliwahi kushangiliwa hivi kwenye mkutano wa kamati kuu kama sijakosea ila mwisho wa siku akapita Jiwe. Hii nchi ina mambo ya miujiza mengi.
 
Hawa jamaa ni wageni wa mambo ya wajumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…