Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Hakuna mpemba Popoma kama wewe!Alikuwa anang'ang'ania kuwa lazima waende Mwanza, kumbe alikuwa anakwenda kuomba POO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mpemba Popoma kama wewe!Alikuwa anang'ang'ania kuwa lazima waende Mwanza, kumbe alikuwa anakwenda kuomba POO.
Kwani yule jocate macc mlimgawa kwa nani vile?Huyu sasa kagawiwa kwa nani? Mwenyekiti au Naibu Katibu Mtarajiwa?
Jibu swali kwanza, acha "Munkari".Kwani yule jocate macc mlimgawa kwa nani vile?
Kuomba maridhiano ni hekima. Big up kamanda MboweStori ni Mbowe aomba POO kwa JPM.
😆😆😆Mkuu vp lakini ; Mh Mbowe ameomba poo kwa faida ya nani kwa uelewa wako mdogo. Yaani tajiri aombe POO alafu masikini wewe ushupaishe shingo tuu. Kama prof anasema ametolewa jalalani sembuse wewe ?
Wahi haraka ukaombe POO mkuu
Mwili wake hautuhusu , tunachoangalia ni hoja alizotoashamsa ford ni huyu malaya wa hapa mjin au kuna mwingine?
Habari kamili hii hapa.
View attachment 1286736
maridhiano, kwani mlikua na ugomvi na nani?Kuomba maridhiano ni hekima. Big up kamanda Mbowe
Muulize mwenyekiti wako huko ccm atakwambiamaridhiano, kwani mlikua na ugomvi na nani?
Moderator unapaswa kuniomba radhi kwa kuunganisha thread ya wazee na ya Bavicha , hakukuwa na uhusiano wowote , tunapopinga udikteta tuwe tunamaanisha kweli , ili basi na mambo kama haya uliyonifanyia yatokomee .Wakuu tunaomba mtuwie radhi sana , hatuna lengo la kuwachosha na habari za Chadema , ila ndio zinazo trend kwa sasa .
View attachment 1286855
Kuelekea kuzikwa kabisa.
kwa sababu ya shamsa Ford
viva chadema
Msamehe bure mkuu hao ni kati ya wale waliokuwa wanaishi kwa kutegemea mtafaruku wa vyama vya upinzani na ccm sasa wakiona hali hii basi wanajua kula yao inaota mbawaMkuu vp lakini ; Mh Mbowe ameomba poo kwa faida ya nani kwa uelewa wako mdogo. Yaani tajiri aombe POO alafu masikini wewe ushupaishe shingo tuu. Kama prof anasema ametolewa jalalani sembuse wewe ?
Wahi haraka ukaombe POO mkuu
Mwanza kulikuwa na sherehe ya ccm au uhuru wa nchi?