Bavicha yatikisa, Shamsa Ford alipua shangwe, asema wazi kwamba vijana wanaopenda maendeleo wako Chadema

Bavicha yatikisa, Shamsa Ford alipua shangwe, asema wazi kwamba vijana wanaopenda maendeleo wako Chadema

shamsa ford nae ni think tank wa chadema sio?
 
Mkuu vp lakini ; Mh Mbowe ameomba poo kwa faida ya nani kwa uelewa wako mdogo. Yaani tajiri aombe POO alafu masikini wewe ushupaishe shingo tuu. Kama prof anasema ametolewa jalalani sembuse wewe ?

Wahi haraka ukaombe POO mkuu
😆😆😆
 
Wakuu tunaomba mtuwie radhi sana , hatuna lengo la kuwachosha na habari za Chadema , ila ndio zinazo trend kwa sasa .
View attachment 1286855
Moderator unapaswa kuniomba radhi kwa kuunganisha thread ya wazee na ya Bavicha , hakukuwa na uhusiano wowote , tunapopinga udikteta tuwe tunamaanisha kweli , ili basi na mambo kama haya uliyonifanyia yatokomee .

Haikuwa sahihi hata chembe
 
Nani aliwahi kupanda jukwaa la chama akasema hakipinfi hicho chama kilichompa jukwaa?!
 
Babu yenu alisha watabiria kifo na kuzikwa kabisa, vinginevyo unamkana
Kuelekea kuzikwa kabisa.
tapatalk_1574537881507.jpeg
tapatalk_1457719968938-1.jpeg
 
Mboowe anakuwa ulaji wake karibia unaanza kukatika! Atafanya nini ili kupata hela kirahisi akiwa nje ya siasa?!!! Hana ujanja. Mbowe, sugu, mnyika na wengine wengi ubunge ukiisha na maisha Yao yanabadilika ghafla!
 
Mkuu vp lakini ; Mh Mbowe ameomba poo kwa faida ya nani kwa uelewa wako mdogo. Yaani tajiri aombe POO alafu masikini wewe ushupaishe shingo tuu. Kama prof anasema ametolewa jalalani sembuse wewe ?

Wahi haraka ukaombe POO mkuu
Msamehe bure mkuu hao ni kati ya wale waliokuwa wanaishi kwa kutegemea mtafaruku wa vyama vya upinzani na ccm sasa wakiona hali hii basi wanajua kula yao inaota mbawa
 
Back
Top Bottom