BAVICHA yatinga Rufiji, Yakagua Mafuriko na kufanya Tathmin kabambe

Umewahi kuona wapi CHADEMA wakatoa misaada wakati wao wenyewe ndio watafuna misaada? Waulize kwenye maporomoko ya Hanang walipata shilingi ngapi kwenye kale kanamba ambako waliweka picha ya Mbowe? Walipeleka wapi kilichopatikana? CHADEMA ni matapeli sana na mafisi linapokuja suala la pesa mbele yao
Hunaga jema kwa opposition party period!!! 😊😊😊😊
 
Umewahi kuona wapi CHADEMA wakatoa misaada wakati wao wenyewe ndio watafuna misaada? Waulize kwenye maporomoko ya Hanang walipata shilingi ngapi kwenye kale kanamba ambako waliweka picha ya Mbowe? Walipeleka wapi kilichopatikana? CHADEMA ni matapeli sana na mafisi linapokuja suala la pesa mbele yao
Bavicha ipo mpaka UN vijana tupo mpaka huku Duniani kuisaidia jamii...we imba tu mapambio kusindikiza walioshiba
 
Weka picha hapa ya misaada waliyotoa hao matapeli . Kwani hujaona namna UVCCM walivyomimina misaada kwa waathirika?
Bavicha haina ubishoo Tayari andiko la Kitaalam kukabiliana na hili janga lipo Engine room...Bavicha imejaa wasomi wapo sehemu mbali mbali vitengo nyeti Kulitumilkia Taifa
We piga miayo tu huko uswekeni chama kiko Mjini
 
Ba vichaa ni matapeli tu na watu waliokosa muelekeo na Dira. Ndio maana wapo wapo tu
 
Umewahi kuona wapi CHADEMA wakatoa misaada wakati wao wenyewe ndio watafuna misaada? Waulize kwenye maporomoko ya Hanang walipata shilingi ngapi kwenye kale kanamba ambako waliweka picha ya Mbowe? Walipeleka wapi kilichopatikana? CHADEMA ni matapeli sana na mafisi linapokuja suala la pesa mbele yao
1712663357931.jpg
hizi ndizo hoja zinazokuhusu wewe kiazi
 
Umewahi kuona wapi CHADEMA wakatoa misaada wakati wao wenyewe ndio watafuna misaada? Waulize kwenye maporomoko ya Hanang walipata shilingi ngapi kwenye kale kanamba ambako waliweka picha ya Mbowe? Walipeleka wapi kilichopatikana? CHADEMA ni matapeli sana na mafisi linapokuja suala la pesa mbele yao
Hujui kitu wewe kapuku , Shut Up !
 
Viongozi wa Bavicha , ambayo imetajwa kote Duniani kama Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , imefika Rufiji kwa ajili ya kuwafariji Wahanga na kushiriki uokozi, ikiwa ni pamoja na kufanya tathmini ya madhara yaliyotokea.

Baada ya kumaliza ziara hiyo wataongea na Waandishi wa Habari na kufumua kila kilichofichwa.

Usiondoke JF
Mwashambwa wa Chadema!
 
Back
Top Bottom